Wapinzani hawana hoja kuelekea 2024/2025

Wapinzani hawana hoja kuelekea 2024/2025

Mtoa mada kama CCM kina MBINU nzuri na kinapendwa, basi kiheshimu sanduku la kura tuone, kiache kutegemea TISS na Polisi kama sanduku lao la kura halafu uone kama kesho asubuhi watakuwepo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una ushahidi wa TISS kuisaidia CCM?
Wapinzani Tanzania ni NGO ni moving private company
nasema tena ZZK alikua sahihi kuhama
 
Shida yenu mnaongea Sana na makala zenu zisizokuwa na kichwa. Ila uchaguzi ukifika mnazima Internet kwa wiki mbili na kuingiza mabegi ya kura.
Kwa upinzani upi mpaka serikali iogope?
Huu upinzani wa kwapani kwa Mbowe?
 
Mbona siku ile JKNIC alikuwa anatukana wapinzani Tena karibia hotuba nzima aliijadili CHADEMA.
upinzani ulikoma 2010 ,upinzani wa akina Dr Slaa ,hawa waliobaki wameshameza ndoano za mafisadi
 
Wapinzani wana hoja nzito za kudai KATIBA mpya, Tume huru ya uchaguzi na hoja ya kulinda raslimali za nchi yetu kwa vizazi vijavyo, je CCM ina hoja gani yenye maslahi kwa taifa ukiachia mbali ile ya kuuza Bandari zetu na mapori ya akiba kwa waarabu?
jiulize hizo hoja za kudai katiba mpya zimeishia wapi?
zimeishia mbowe kupost mjengo wake Hai na Lissu kupigwa majungu na Mbowe ,wanagombana nani agombee urais real?
 
Itapendeza km uchaguzi utakua wa huru na haki ili kusibitisha maneno yako unayosema

Sio unasema hawana hoja af uchaguzi ukifika mnawaibia kula mnawapiga mabomu na mnawachagulia wasimamizi wa kula

Uchaguzi wa uhuru na haki ndo utatupa majb sio ww chawa wa chama
Kamanda , uchaguzi huru na haki uanzie ndani ya vyama pinzani ,unahisi Mbowe toka 2000 anashinda uenyekiti kihalali?
hakuna mwenye akili zaidi ya mbowe wa kuongoza chadema isipokua mbowe?
 
Walisema hivyo hivyo 2020 wakaishia kuiba uchaguzi mazima.
Matukio ni muhimu sana kwenye siasa na Sera ni muhimu pia.
wapinzani waanze kwa kuwa na chaguzi huru wao kwanza,mbowe ni mwenyekiti pekee toka 2000 ,hua anagombea na nan?
 
jiulize hizo hoja za kudai katiba mpya zimeishia wapi?
zimeishia mbowe kupost mjengo wake Hai na Lissu kupigwa majungu na Mbowe ,wanagombana nani agombee urais real?
Mzee hoja ya Katiba mpya uliambiwa na nani kwamba imeisha ?? unaishi nchi gani?
 
Mzee hoja ya Katiba mpya uliambiwa na nani kwamba imeisha ?? unaishi nchi gani?
Wapinzani wameshadakia mijadala ya maandazi ,hakuna tena anayeulizia katiba mpya , nieleze wewe Mbowe umemsikia lini anaongelea katiba mpya?
 
Wapinzani wa Tanzania wanakwama pakubwa sana. Huwezi amini baada ya kulia kwa miaka kama 6 kua wamezuiwa kufanya mikutano, leo hii wanaruhusiwa kufanya mikutano and guess what they are into?
kumtukana waziri Nape pekee real?

Tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka mmoja baadae uchaguzi mkuu. Think Tank ya chama kikuu cha upinzani inabishana kumlinganisha waziri na Maandazi kweli?

hawa ndio watunga ilani ya uchaguzi ijayo kweli? kuna mahali wapinzani mnaukosea umma wa watanzania wenye kiu ya kuona mabadiriko nchini. Nyie ndio wa kuweka agenda ya alipo makamu wa rais kama agenda ya kitaifa?

By the way you wanted the man to be dead ili muwe proven right si ndio? Badirikeni, wenzenu CCM wanawatupia mifupa na nyie bila kujua mnabweka kwa kila mfupa unaotupwa
zero thinking capacity, kwa ujumla ninyi mmesha fail kabla ya kuanza safari

Yani 2024 mwaka wa chaguzi wa serikali za mitaa agenda kuu yenu ni Makamu wa rais kutoonekana?
Yani 2024 mwaka wa uchaguzi mnaingia mkia na agenda ya chongolo kujiuzulu uongozi CCM?

Mbona mna Uelewa mdogo sana wa mambo nyie ? au mnasubiri rejects wa CCM ndio waje wawape mipango?

kwa akili ndogo zenu mtatukana tena.
Umedhihirisha kipaji chako cha upumbavu!
 
Wapinzani wakiongozwa na Chadem ji ni taka taka kabsaaa...leo hii eti wale wale walioshindwa kuleta Maendeleo ndo wale wale wanajiandaa kugombea tena Ubunge.
Maendeleo yanaletwa na mbunge? Au umesahau ule upuuzi wa serekali kuwa hawapeleki maendeleo kwenye wapinzani?
 
Wapinzani wameshadakia mijadala ya maandazi ,hakuna tena anayeulizia katiba mpya , nieleze wewe Mbowe umemsikia lini anaongelea katiba mpya?
Hiyo katiba unaweza kuongelea hata ww, huku ni kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi ya chama chochote Cha siasa. Hoja za chama zinajadiliwa kwenye vikao halali vya chama na sio mitandaoni. Huku ni watumiaji wa mitandao, Kila mtu anachangia atakacho. Labda utuonyeshe ccm mnajadili nini Ili tuwaone.
 
Una ushahidi wa TISS kuisaidia CCM?
Wapinzani Tanzania ni NGO ni moving private company
nasema tena ZZK alikua sahihi kuhama
Ushahidi wa hilo sio wa kutafuta maana mnapora chaguzi kishamba mno. Kwani ccm sio private company, au nyie chawa mkipewa vipapatio mnajiona na nyie ni sehemu ya walaji? Tazama wanaopata madaraka ni sura zilezile.
 
Maendeleo yanaletwa na mbunge? Au umesahau ule upuuzi wa serekali kuwa hawapeleki maendeleo kwenye wapinzani?
Sasa kuna haja gani ya Kuwa na wabunge ambao hawana msaada...Kwa hiyo wanaomba kura kwa wananchi wote kwa ahadi ya kuleta maendeleo huku wanajua hawawezi sio?.
 
Punguza hasira , najua kupanda kwa nauli kumekuumiza ila ndio hivyo CCM haina huruma.
Kwani wewe unadhani nauli ndo Tatizo la Taifa,Chadema hamjawai kuwa na Akili...ndo mana mnapokea ruzuku ya Wabunge mnaowaita haram ili kuendesha chama chenu Haram.
 
Sasa kuna haja gani ya Kuwa na wabunge ambao hawana msaada...Kwa hiyo wanaomba kura kwa wananchi wote kwa ahadi ya kuleta maendeleo huku wanajua hawawezi sio?.
Kwa hiyo mzazi wako alipoteza mali zake kusomesha zuzu ambalo kwa miaka yote uliyokuwa masomoni hujafahamu kazi ya mbunge!
 
Kwani wewe unadhani nauli ndo Tatizo la Taifa,Chadema hamjawai kuwa na Akili...ndo mana mnapokea ruzuku ya Wabunge mnaowaita haram ili kuendesha chama chenu Haram.

Wewe ndio huna akili. Kasome kwanza sheria ya uchaguzi ujue Ruzuku ya chama inapatikanaje. Maana hata hao viti maalum wanapatikana kutokana na kura za Urais. Ile asilimia ya Urais ndio inawapatia Ruzuku na wabunge wa viti maalum. Nimekusaidia kuondoka ujinga ndani yako.
 
Kwani wewe unadhani nauli ndo Tatizo la Taifa,Chadema hamjawai kuwa na Akili...ndo mana mnapokea ruzuku ya Wabunge mnaowaita haram ili kuendesha chama chenu Haram.
Duuh nimethibitisha wewe ni zuzu lililokubuhu! Yaani mpaka leo hufahamu ruzuku inatolewaje!
 
upinzani ulikoma 2010 ,upinzani wa akina Dr Slaa ,hawa waliobaki wameshameza ndoano za mafisadi

Wewe kweli hujui maana ya upinzani, kumbe unaangalia personality baadala ya movement. Kama upinzani ulikufa 2010 mbona 2019 na 2020 mlikuwa mnahangaika kuwakata majina wagombea wa upinzani na ujinga mwingine?. Tena mkapeleka majeshi Zanzibar na kuzima Internet nchi nzima kwa wiki mbili. Hata jamii forum yenyewe haikuwepo hewani bila VPN halafu unaropoka.
 
Back
Top Bottom