Una ushahidi wa TISS kuisaidia CCM?Mtoa mada kama CCM kina MBINU nzuri na kinapendwa, basi kiheshimu sanduku la kura tuone, kiache kutegemea TISS na Polisi kama sanduku lao la kura halafu uone kama kesho asubuhi watakuwepo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
jiulize hizo hoja za kudai katiba mpya zimeishia wapi?Wapinzani wana hoja nzito za kudai KATIBA mpya, Tume huru ya uchaguzi na hoja ya kulinda raslimali za nchi yetu kwa vizazi vijavyo, je CCM ina hoja gani yenye maslahi kwa taifa ukiachia mbali ile ya kuuza Bandari zetu na mapori ya akiba kwa waarabu?
Kamanda , uchaguzi huru na haki uanzie ndani ya vyama pinzani ,unahisi Mbowe toka 2000 anashinda uenyekiti kihalali?Itapendeza km uchaguzi utakua wa huru na haki ili kusibitisha maneno yako unayosema
Sio unasema hawana hoja af uchaguzi ukifika mnawaibia kula mnawapiga mabomu na mnawachagulia wasimamizi wa kula
Uchaguzi wa uhuru na haki ndo utatupa majb sio ww chawa wa chama
Mzee hoja ya Katiba mpya uliambiwa na nani kwamba imeisha ?? unaishi nchi gani?jiulize hizo hoja za kudai katiba mpya zimeishia wapi?
zimeishia mbowe kupost mjengo wake Hai na Lissu kupigwa majungu na Mbowe ,wanagombana nani agombee urais real?
Umedhihirisha kipaji chako cha upumbavu!Wapinzani wa Tanzania wanakwama pakubwa sana. Huwezi amini baada ya kulia kwa miaka kama 6 kua wamezuiwa kufanya mikutano, leo hii wanaruhusiwa kufanya mikutano and guess what they are into?
kumtukana waziri Nape pekee real?
Tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka mmoja baadae uchaguzi mkuu. Think Tank ya chama kikuu cha upinzani inabishana kumlinganisha waziri na Maandazi kweli?
hawa ndio watunga ilani ya uchaguzi ijayo kweli? kuna mahali wapinzani mnaukosea umma wa watanzania wenye kiu ya kuona mabadiriko nchini. Nyie ndio wa kuweka agenda ya alipo makamu wa rais kama agenda ya kitaifa?
By the way you wanted the man to be dead ili muwe proven right si ndio? Badirikeni, wenzenu CCM wanawatupia mifupa na nyie bila kujua mnabweka kwa kila mfupa unaotupwa
zero thinking capacity, kwa ujumla ninyi mmesha fail kabla ya kuanza safari
Yani 2024 mwaka wa chaguzi wa serikali za mitaa agenda kuu yenu ni Makamu wa rais kutoonekana?
Yani 2024 mwaka wa uchaguzi mnaingia mkia na agenda ya chongolo kujiuzulu uongozi CCM?
Mbona mna Uelewa mdogo sana wa mambo nyie ? au mnasubiri rejects wa CCM ndio waje wawape mipango?
kwa akili ndogo zenu mtatukana tena.
Maendeleo yanaletwa na mbunge? Au umesahau ule upuuzi wa serekali kuwa hawapeleki maendeleo kwenye wapinzani?Wapinzani wakiongozwa na Chadem ji ni taka taka kabsaaa...leo hii eti wale wale walioshindwa kuleta Maendeleo ndo wale wale wanajiandaa kugombea tena Ubunge.
Hiyo katiba unaweza kuongelea hata ww, huku ni kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi ya chama chochote Cha siasa. Hoja za chama zinajadiliwa kwenye vikao halali vya chama na sio mitandaoni. Huku ni watumiaji wa mitandao, Kila mtu anachangia atakacho. Labda utuonyeshe ccm mnajadili nini Ili tuwaone.Wapinzani wameshadakia mijadala ya maandazi ,hakuna tena anayeulizia katiba mpya , nieleze wewe Mbowe umemsikia lini anaongelea katiba mpya?
Ushahidi wa hilo sio wa kutafuta maana mnapora chaguzi kishamba mno. Kwani ccm sio private company, au nyie chawa mkipewa vipapatio mnajiona na nyie ni sehemu ya walaji? Tazama wanaopata madaraka ni sura zilezile.Una ushahidi wa TISS kuisaidia CCM?
Wapinzani Tanzania ni NGO ni moving private company
nasema tena ZZK alikua sahihi kuhama
Sasa kuna haja gani ya Kuwa na wabunge ambao hawana msaada...Kwa hiyo wanaomba kura kwa wananchi wote kwa ahadi ya kuleta maendeleo huku wanajua hawawezi sio?.Maendeleo yanaletwa na mbunge? Au umesahau ule upuuzi wa serekali kuwa hawapeleki maendeleo kwenye wapinzani?
Kwani wewe unadhani nauli ndo Tatizo la Taifa,Chadema hamjawai kuwa na Akili...ndo mana mnapokea ruzuku ya Wabunge mnaowaita haram ili kuendesha chama chenu Haram.Punguza hasira , najua kupanda kwa nauli kumekuumiza ila ndio hivyo CCM haina huruma.
Kwa upinzani upi mpaka serikali iogope?
Huu upinzani wa kwapani kwa Mbowe?
Kwa hiyo mzazi wako alipoteza mali zake kusomesha zuzu ambalo kwa miaka yote uliyokuwa masomoni hujafahamu kazi ya mbunge!Sasa kuna haja gani ya Kuwa na wabunge ambao hawana msaada...Kwa hiyo wanaomba kura kwa wananchi wote kwa ahadi ya kuleta maendeleo huku wanajua hawawezi sio?.
Kwani wewe unadhani nauli ndo Tatizo la Taifa,Chadema hamjawai kuwa na Akili...ndo mana mnapokea ruzuku ya Wabunge mnaowaita haram ili kuendesha chama chenu Haram.
Duuh nimethibitisha wewe ni zuzu lililokubuhu! Yaani mpaka leo hufahamu ruzuku inatolewaje!Kwani wewe unadhani nauli ndo Tatizo la Taifa,Chadema hamjawai kuwa na Akili...ndo mana mnapokea ruzuku ya Wabunge mnaowaita haram ili kuendesha chama chenu Haram.
upinzani ulikoma 2010 ,upinzani wa akina Dr Slaa ,hawa waliobaki wameshameza ndoano za mafisadi