Uchaguzi 2020 Wapinzani kuweni makini na njama zinazopangwa dhidi yenu

Uchaguzi 2020 Wapinzani kuweni makini na njama zinazopangwa dhidi yenu

Hawa CCM na mawakala wao tume ya uchaguzi wanatafuta kila hila ili waokoke. Wapinzani wawe makini sana kabla, siku ya uchaguzi, na wakati wa kuhesabu na kutangaza matokeo.
 
Hawa CCM na mawakala wao tume ya uchaguzi wanatafuta kila hila ili waokoke. Wapinzani wawe makini sana kabla, siku ya uchaguzi, na wakati wa kuhesabu na kutangaza matokeo.
Tayari taarifa zote zimesambazwa dunia nzima
 
Hata lowassa na slaa walikua kwenye mioyo yenu kwa ujuha mkaendelea kuwaita marais mpaka mkanywea kwa upinzani huu wa kisanii kuiondoa CCM ni kazi
Mtakapo katwa vichwa na sehemu za Siri hadharani ndio utajua kumbe kuwaondoa nyinyi Ni sawa na kuondoa mbwa mfu barabarani
 
Sidhani kama raia wanahitaji tena kampeni kwani maamuzi tayari wanayo kwenye vichinjio vyao. Hapo ishu ni mawakala kuharibu either kwa uzembe au kwa kununuliwa
 
Mwaka huu ata upinzani uungane na upige kampen usiku na mchana awana mgombea wa kumshinda JPM, JPM amewazidi wenzake kwa ubora kwa kiwango kikubwa sana. Upinzani ujipange vizuri kwa 2025.
Ufike wakati uwe na akili kidogo ya kuacha kumtetea dikteta, muuaji na mkabila mkubwa.
 
Taarifa mpya zinadokeza kwamba wagombea wengi zaidi wa upinzani kupigwa marufuku kufanya kampeni kuanzia october mosi .

Majina ya wanaolengwa tutayaweka hadharani muda mfupi ujao
 
Ni mawazo mazuri, bila shaka wahusika watayafanyia kazi
 
mtoa mada anaweweseka.
Ahaaaa!!Yaaan!!kura nyingi hizi za cdm za ndotoni kuna Nazi kweli kweli.Kwanza ,Lissu atudhibitishie ana Uraia wake nchi mbili kweli??Mbona hataki kujibu hili swali
 
Naongezea mkuu hapa ,vyama vyote ambavyo wapinzani Imani zenu ziko sawa katika kushirikiana hakikisha katika mikakati yanu Kila chama kinakuwa na wakala tz nzima.
NAMANISHA
Mfano Kama mnashilikiana vyama vinne au vitano Basi Kila kituo tz nzima kiwe na mawakala wanne ,na Kama chama mojawapo hakitakua na uwezo wa kuweka mawakala Basi chadema na act wasaidie ili mladi Kila kituo kiwe na mawakala kwa vyama mnaoshirikiana ,Hapa tafadhali wekeza pesa ya kuwalipa mawakala ,ni muhim Sana
 
Kwa ushindi huu wa wazi kwa Ccm ndio ifanye njama?
ingekuwa hivyo mngezuia wapinzani kufanya kampeni ? halafu wewe ni shabiki maandazi tu hujui kinachofanyika , iulize tume kwanini inazuia ubunge wa Kiwanga Mlimba
 
Duu! Hii Hatari kwelikweli! Tena niwasihi pia CHADEMA mwaka huu mtakapoweka kituo cha kukusanyia matokeo ya kura zenu hakikisheni mnaweka vituo zaidi ya vitatu, na viwekwe sehemu isiyojulikana iliyojulikana. Suala hili ikibidi liratibiwe na watu wachache sana ili kuongeza usiri. Hali hii itasaidia kuepusha njama za kubambikiwa kesi na kukamatwa kwa vijana hao ili tu kuvuruga zoezi la kukusanya matokeo!
 
Mwaka huu ushauri na maelekezo ni mengi sana, inaonekana kuna jambo halipo sawa. Huko ubungo sijaona hata picha moja ya savimbi, atachaguliwa vipi na wasiomfahamu?
Mabango yapo na yanaendelea kubandikwa na tunayabandika kwa kasi
 
Back
Top Bottom