Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Kwa ufupi:Mwaka huu ata upinzani uungane na upige kampen usiku na mchana awana mgombea wa kumshinda JPM, JPM amewazidi wenzake kwa ubora kwa kiwango kikubwa sana. Upinzani ujipange vizuri kwa 2025.
Wakulima hoi bin taaban
Wafanyakazi hoi bin taaban
Wastaafu hoi bin taaban
Waliomaliza vyuo hoi bin taaban
Wafanyabiashara hoi bin taaban
Wavuvi hoi bin taaban
Eti huyu anataka mi5 tena!! Afanye nini?
Huyu ni rais wa wanyonge gani?