Uchaguzi 2020 Wapinzani kuweni makini na njama zinazopangwa dhidi yenu

Uchaguzi 2020 Wapinzani kuweni makini na njama zinazopangwa dhidi yenu

ingekuwa hivyo mngezuia wapinzani kufanya kampeni ? halafu wewe ni shabiki maandazi tu hujui kinachofanyika , iulize tume kwanini inazuia ubunge wa Kiwanga Mlimba
Sheria za uchaguzi unazijua? Tume huwa haiweki mapingamizi,bali mgombea ndie anaweka pingamizi dhidi ya mgombea. Kama pingamizi linamashiko unategemea nini? Uharo lazima utoke wakati mnajamba
 
Sheria za uchaguzi unazijua? Tume huwa haiweki mapingamizi,bali mgombea ndie anaweka pingamizi dhidi ya mgombea. Kama pingamizi linamashiko unategemea nini? Uharo lazima utoke wakati mnajamba
Kweli wee pimbi, sheria Ina mruhusu msimamizi wa uchaguzi kumuwekea mgombea udiwani au ubunge pingamizi ... mbona matanga wabishi kiasi hicho??
 
Mwaka huu ata upinzani uungane na upige kampen usiku na mchana awana mgombea wa kumshinda JPM, JPM amewazidi wenzake kwa ubora kwa kiwango kikubwa sana. Upinzani ujipange vizuri kwa 2025.
Awana= hawana ? Kiswahili cha mbagala majimatitu
 
Hili la mawakala ni muhimu sana kuwa extra careful vinginevyo hawa wahuni wa maccm ndipo wanapopatia kura zao za wizi ama kwa kudai hawana vigezo au kuwanunua katika chumba cha kuhesabia kura.
 
Jaribu kuficha ujinga wako mkuu ..utafanya hata waliokuwa wanakuheshimu wataanza kukudharau kuwa haunazo
Unajua maana ya pingamizi? Sasa msimamizi aweke pingamizi la nini?

Au unafanananisha na kumuengua mgombea aliyekosea kujaza fomu?

Alafu usidhani kila mtu anafikiri kwa kutumia makalio kama wewe!
 
Hili la mawakala ni muhimu sana kuwa extra careful vinginevyo hawa wahuni wa maccm ndipo wanapopatia kura zao za wizi ama kwa kudai hawana vigezo au kuwanunua katika chumba cha kuhesabia kura.
asante sana
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ushauri wangu kwa chama changu chadema, huu uchaguzi nguvu kubwa ielekezwe kwenye ubunge. Uraisi hatuwezi kushinda hata kidogo, tujipange kwa ajili ya 2025.
 
Kumbe hujui kitu ! sasa mapovu unayamwaga kwa faida ya nani ?
Hakuna povu nakuelewesha maana ubongo wako una manailoni.
Pingamizi linawekwe na mgombea mmojawapo ambae anampinga mwingine asipitishwe. Ndio maana ya pingamizi,Nec usiwasingizie.

Tatizo mnakaririshwa kuandika upuuzi,chama chenu kimekosa watu makini. Mnaharisha uharo tu zimebaki siku 33.
 
Taarifa mpya zinadokeza kwamba wagombea wengi zaidi wa upinzani kupigwa marufuku kufanya kampeni kuanzia october mosi .

Majina ya wanaolengwa tutayaweka hadharani muda mfupi ujao
Acheni propaganda mfu, pigeni kampeni mtarajie kushindwa kihalali, hakuna atayeiba kura zenu, kwanza sijaona kama mna mikakati ya kuwasaidia wagombea wenu kupata kura, mmewaacha kama yatima, mmewekeza kwa lissu kitu ambacho ushindi wake hautazidi 5% kwani hata yeye ana dansi na wimbo wa jukwaani tuuuu. Kura hazipatikani kwenye majukwaa pekee zipo mahali pa siri lazima uijue siri hiyo.

Labda niwakumbushe tu, vijana hawahawa walimpa matumaini Mange Kimambi kuwa wako tayari kuingia barabarani kudai chao, siku ilipowadia ndiyo kwanza wakawa wanafungua biashara zao as if nothing was planned and agreed upon. Hawakuishia hapo mzee Membe alipoibuka kuipinga ccm, faster faster vijana walijitokeza kwa slogan ya ya twende na Membe, baada ya membe kufukuzwa na kujiunga ACT vijana wale wakaingia mitini. Sasa wamehamia kwa Lissu tayari Lissu amevimba bichwa akiiona ikulu na mlango wa kuingia wakati hata kampeni hazijaisha, kura hazijapigwa wala matokeo hayajatangazwa.

Lissu tunampa ushauri wa bure kwamba CCM ni dude kuuuubwa kiasi kwamba linapokuja swala la maslahi ya MAMA TANZANIA huwa linafanya kile ambacho kinapaswa kufanywa na kwa ustadi mkubwa ili kulinda mama Tanzania.
 
Back
Top Bottom