Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Sheria za uchaguzi unazijua? Tume huwa haiweki mapingamizi,bali mgombea ndie anaweka pingamizi dhidi ya mgombea. Kama pingamizi linamashiko unategemea nini? Uharo lazima utoke wakati mnajambaingekuwa hivyo mngezuia wapinzani kufanya kampeni ? halafu wewe ni shabiki maandazi tu hujui kinachofanyika , iulize tume kwanini inazuia ubunge wa Kiwanga Mlimba
Kweli wee pimbi, sheria Ina mruhusu msimamizi wa uchaguzi kumuwekea mgombea udiwani au ubunge pingamizi ... mbona matanga wabishi kiasi hicho??Sheria za uchaguzi unazijua? Tume huwa haiweki mapingamizi,bali mgombea ndie anaweka pingamizi dhidi ya mgombea. Kama pingamizi linamashiko unategemea nini? Uharo lazima utoke wakati mnajamba
Msimamizi aweke pingamizi ili?Kweli wee pimbi, sheria Ina mruhusu msimamizi wa uchaguzi kumuwekea mgombea udiwani au ubunge pingamizi ... mbona matanga wabishi kiasi hicho??
Tatizo kubwa la vijana wa CCM ni elimuKweli wee pimbi, sheria Ina mruhusu msimamizi wa uchaguzi kumuwekea mgombea udiwani au ubunge pingamizi ... mbona matanga wabishi kiasi hicho??
Usikute aliko anajiita msomi kumbe Ni kilaza htrtatizo kubwa la vijana wa ccm ni elimu
Aiseee !!Lissu yuko kwenye mioyo ya watu Magufuli yuko kwenye nguzo za umeme na madaraja.
Kumbe hujui kitu ! sasa mapovu unayamwaga kwa faida ya nani ?Msimamizi aweke pingamizi ili?
Jaribu kuficha ujinga wako mkuu ..utafanya hata waliokuwa wanakuheshimu wataanza kukudharau kuwa haunazoMsimamizi aweke pingamizi ili?
Awana= hawana ? Kiswahili cha mbagala majimatituMwaka huu ata upinzani uungane na upige kampen usiku na mchana awana mgombea wa kumshinda JPM, JPM amewazidi wenzake kwa ubora kwa kiwango kikubwa sana. Upinzani ujipange vizuri kwa 2025.
Unajua maana ya pingamizi? Sasa msimamizi aweke pingamizi la nini?Jaribu kuficha ujinga wako mkuu ..utafanya hata waliokuwa wanakuheshimu wataanza kukudharau kuwa haunazo
Lissu yuko kwenye mioyo ya watu Magufuli yuko kwenye nguzo za umeme na madaraja.
AminaZanzibar tunampenda sana Lissu. Yeye na Maalim seif ni pair nzuri ya kuiongoza Tanzania.
Allah awajaalie washinde uchanguzi huu.
asante sanaHili la mawakala ni muhimu sana kuwa extra careful vinginevyo hawa wahuni wa maccm ndipo wanapopatia kura zao za wizi ama kwa kudai hawana vigezo au kuwanunua katika chumba cha kuhesabia kura.
Hakuna povu nakuelewesha maana ubongo wako una manailoni.Kumbe hujui kitu ! sasa mapovu unayamwaga kwa faida ya nani ?
Acheni propaganda mfu, pigeni kampeni mtarajie kushindwa kihalali, hakuna atayeiba kura zenu, kwanza sijaona kama mna mikakati ya kuwasaidia wagombea wenu kupata kura, mmewaacha kama yatima, mmewekeza kwa lissu kitu ambacho ushindi wake hautazidi 5% kwani hata yeye ana dansi na wimbo wa jukwaani tuuuu. Kura hazipatikani kwenye majukwaa pekee zipo mahali pa siri lazima uijue siri hiyo.Taarifa mpya zinadokeza kwamba wagombea wengi zaidi wa upinzani kupigwa marufuku kufanya kampeni kuanzia october mosi .
Majina ya wanaolengwa tutayaweka hadharani muda mfupi ujao
Wakati Chadema kimeshakufa hehehembona nguvu nyingi namnahii