Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

kwa taarifa yako uchumi wa kati mchangiaji mkubwa siyo JPM.

kinara ni JK @ $480
anayefuatia kwa mbali Mkapa @330B
JPM kachangia kiduchu tu $100B
Hiyo sio hoja hata kama awe Jakaya peke yake .Tanzania imeingia uchumi wa kati. Kwa hoja yako ya umasikini ni muongo.
 
Hopeless? Mtu unajua hata kura 100 hupati kwa nini ushindane na jembe linalokubalika.

Watz wene akili timamu wanahoji hivi: KAMA MAGUFULI ANAKUBALIKA BASI AKUBALI KUUNDWA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI halafu tuone mpambano utakuwaje....!!!
Lakini pia watu wene akili wanasema Kama Jiwe anakubalika Kwanini anawanyanyasa Wapinzani kwa kuzuia mikutano yao ya ndani na nje?
Something somewhere must be very wrong with Magufuli. Huo ndo ukweli mchungu.
 
Hiyo sio hoja hata kama awe Jakaya peke yake .Tanzania imeingia uchumi wa kati. Kwa hoja yako ya umasikini ni muongo.
uchumi wa kati haundoi umasikini.

baada ya kuingia uchumi wa kati, ona hapa chini position ya Tanzania kiumasikini duniani.... ipo kwenye top 30 poorest countries in the world!

lakini MATAGA mnadanganywa ni dona kantri mnaitikia nyenyenyeee!

 
We ni mpuuzi kweli. Tweet ya mtu ndio una tumia kama evidence.
 
Tume iwe huru mara mbili? Wanaingiliwa mikutano ya ndani? Labda mikutano ya ndani inageuzwa kuwa ya nje.
 

Huko ccm kwenyewe wasingepigwa stop, wangelichukuwa wengi kuliko waliochukua huko zanzibar. sasa wewe unashangaa wapinzani kuchukua fomu kugombea nafasi ya urais? Kama anajiamini si mtulie tu?
 
Huko ccm kwenyewe wasingepigwa stop, wangelichukuwa wengi kuliko waliochukua huko zanzibar. sasa wewe unashangaa wapinzani kuchukua fomu kugombea nafasi ya urais? Kama anajiamini si mtulie tu?
CCM wangeruhusu form ya Urais ichukuliwe kidemokrasia kama Zanzibar idadi ya watia nia ya Urais ingeweza kufika hata 500 hata kama wangesema kuchukua form ni tshs milion 10 au zaidi, huko CCM kuna watu wanautaka Urais kuliko hata mtukufu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…