Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #181
Tulia mwiba uingia kunako.Ingekuwa amri yangu Mada kama hizi zisingepata nafasi hapa Jf,
Moderators, ni bora mkafutilia mbali mbali huu uharo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia mwiba uingia kunako.Ingekuwa amri yangu Mada kama hizi zisingepata nafasi hapa Jf,
Moderators, ni bora mkafutilia mbali mbali huu uharo
yeah...Umasikini ni wa kutisha Tanzania hakuna nyongeza ya mshahara kwa mda wa miaka 5
weka ukweli tuone hoja yako!Uongo na upuuzi kama huu!
Uchumi wa kati ndio jibu lako.weka ukweli tuone hoja yako!
kwa taarifa yako uchumi wa kati mchangiaji mkubwa siyo JPM.Uchumi wa kati ndio jibu lako.
Hiyo sio hoja hata kama awe Jakaya peke yake .Tanzania imeingia uchumi wa kati. Kwa hoja yako ya umasikini ni muongo.kwa taarifa yako uchumi wa kati mchangiaji mkubwa siyo JPM.
kinara ni JK @ $480
anayefuatia kwa mbali Mkapa @330B
JPM kachangia kiduchu tu $100B
Hopeless? Mtu unajua hata kura 100 hupati kwa nini ushindane na jembe linalokubalika.
uchumi wa kati haundoi umasikini.Hiyo sio hoja hata kama awe Jakaya peke yake .Tanzania imeingia uchumi wa kati. Kwa hoja yako ya umasikini ni muongo.
We ni mpuuzi kweli. Tweet ya mtu ndio una tumia kama evidence.uchumi wa kati haundoi umasikini.
baada ya kuingia uchumi wa kati, ona hapa chini position ya Tanzania kiumasikini duniani.... ipo kwenye top 30 poorest countries in the world!
lakini MATAGA mnadanganywa ni dona kantri mnaitikia nyenyenyeee!
View attachment 1503730
nenda kwenye websites za WB & IMF uka confirm, siyo kusubiri utafuniwe!We ni mpuuzi kweli. Tweet ya mtu ndio una tumia kama evidence.
Tume iwe huru mara mbili? Wanaingiliwa mikutano ya ndani? Labda mikutano ya ndani inageuzwa kuwa ya nje.Watz wene akili timamu wanahoji hivi: KAMA MAGUFULI ANAKUBALIKA BASI AKUBALI KUUNDWA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI halafu tuone mpambano utakuwaje....!!!
Lakini pia watu wene akili wanasema Kama Jiwe anakubalika Kwanini anawanyanyasa Wapinzani kwa kuzuia mikutano yao ya ndani na nje?
Something somewhere must be very wrong with Magufuli. Huo ndo ukweli mchungu.
Kweli?Mjinga mmoja wewe .
Acha kuwatukana watu simama kwenye hojaWe ni mpuuzi kweli. Tweet ya mtu ndio una tumia kama evidence.
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.
Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.
Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.
Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.
Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
CCM wangeruhusu form ya Urais ichukuliwe kidemokrasia kama Zanzibar idadi ya watia nia ya Urais ingeweza kufika hata 500 hata kama wangesema kuchukua form ni tshs milion 10 au zaidi, huko CCM kuna watu wanautaka Urais kuliko hata mtukufu mwenyewe.Huko ccm kwenyewe wasingepigwa stop, wangelichukuwa wengi kuliko waliochukua huko zanzibar. sasa wewe unashangaa wapinzani kuchukua fomu kugombea nafasi ya urais? Kama anajiamini si mtulie tu?