Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Ndoto bila mikakati madhubuti itabaki kuwa ndoto. Priorities za wapinzani katika nchi yetu hazijawahi kusimama wima tangu multiparty system irejeshwe nchini!
Kwa mtazamo wangu hiki ulichosema si kweli.
Wapinzani walikuwa na ajenda na vipaumbele vizuri sana miaka ya 1992 - 2000->hasa 1995. Pia kipindi cha 2007 - 2014 -> hasa 2008-2010.
Mwaka 2015 kila kitu kikabadilika kabisa na wapinzani wakapoteza muelekeo na wakaacha misingi na itikadi walizo zisimamia.

Mara nyingi kila chama cha upinzani kikifikia kwenye kilele cha mafanikio wanajisahau na kuanza kulewa sifa kisha wanapoteza muelekeo na kuvurugana sababu ya pesa au tamaa ya madaraka.
 
Bila tume huru hawawezi shinda ila kukiwa na haki huyo unaemsifia ni mweupe mno ndio maana hata fomu katoa moja ungeshangaa angetoa fom zaidi ya moja yani hata ndani hawamtaki !!! Ulishaona awamu IPI fom inatolewa moja???
Mnamkuza kama Mungu lakin he doesn't deserve such status !!!!
Ajira hakuna
Ameshindwa hata kuongeza mishahara watumishi wanaishi kimaskini mno kuliko awamu zote
Anatamba yeye anajua wakiongea wengine itakua......
Ukabila ndo usiseme ???
Mkuu umeongea kwa uchungu sana
 
Ninawashangaa sana baadhi ya watanzania walio ni fikra ndogo na upeo mdogo wa kufanya upembuzi yakinifu juu ya nani atashinda u rais mwaka huu.yani unakuta mtu anasimama kabisa na kusema eti Lissu anauwezo wa kumkabili Magufuli (best president ever).

Naombeni niwaambie hakuna mtu anayeweza mkabili Dkt. Magufuli hata kidogo, mimi nasema atakae weza mkabili Magufuli nitatoa milioni tano cash.

Dkt. Magufuli sio wa mchezo kama mnavodhani, amefanya makubwa na nchi inaenda vizuri sana. Eleweni basi. Mnajisumbua wapinzani
ACHA UPOYOYO
 
Hili la umasikini wa watimishi wa umma naamini wanaposema ni wapenzi wa mungu nina mashaka.
 
Usiwashangae. Kuwa smart kijana. Huwezi kumlazimisha mtu awaze kama unavyowaza wewe. Wewe unavyoo a mgombea wako ni sahihi wengine wanaona hafai
 
Kununua watu toka upinzani na kuwarundika ccm ni matumizi sahihi ya hizo fedha au ni ufisadi??
Weka risiti ya pesa walizonunuliwa.
 

Attachments

  • MREMATISHA.jpg
    MREMATISHA.jpg
    25.3 KB · Views: 1
Akili nyanya ndio hizi, nyanya masalo kabisa.
Kajifunze maana na umuhimu wa demokrasia.Vinginevyo labda uwe hauungi mkono dhana nzima ya demokrasia.
Mwisho utatuambia kwa nini asikae tu mpaka Mungu akimpenda.
NB:Waachwe huru watu wazungumze ndio utajua vizuri nini ni nini, we unaangalia tu flyovers town, piga hilo hilo jicho lako upande wa vijijini na kwa maisha ya mtanzania wa kawaida(hapa wazembe huwa wanaleta kauli "mboga" kabisa eti ni muda wa kukaza mkanda kwa faida za kizazi cha baadae")Kipi cha wakina Wassira?😃
Tulia wewe ukikua ndio utajua kuwa Ccm ni chama dume.
 

Attachments

  • MREMATISHA.jpg
    MREMATISHA.jpg
    25.3 KB · Views: 1
Wewe mbweha unatumia nini Mbona Akili huna hata punje? au ukivuta Bangi unajiona Akili zimekuja kwako? Mbowe hajang’ang’ania Uenyekiti chaguzi huwa huru huchaguliwa na wananchi wanaipenda chadema ndiyo maana mmeamua kuwabambikia kesi baada ya kushindwa kila mbinu zenu za kishamba, Utamaduni gani wa CCM? Utamaduni wa kupitisha jina moja? Utamaduni wa kuzuia wengine kuchukua form kibabe? Utamaduni wa CCM haufanyi kazi Zanzibar? Utamaduni wa CCM ni kwa Tanganyika pekee? Ukimaliza kuvuta Bangi utulie Bangi ikikuisha kichwani ndipo unijibu
Kesi gani wamebambikiwa?
Minyoo + bangi + konyagi=?
 
Lissu hana sifa ya kuongoza hata mkoa ukiacha Nchi. Mnatujazia server tu. Bora hata huyo DJ anaewsza kumanage hata biashara zake mwenyewe. Lissu anamafanikio yapi katika maidha yake binafsi mpaka tumuamini kutuvusha? Yeye mwenyewe hana issue sisi atatusaidiaje?
 
Punguza njaa mkuu naona sasa kama inakupanda kichwani
Ninawashangaa sana baadhi ya watanzania walio ni fikra ndogo na upeo mdogo wa kufanya upembuzi yakinifu juu ya nani atashinda u rais mwaka huu.yani unakuta mtu anasimama kabisa na kusema eti Lissu anauwezo wa kumkabili Magufuli (best president ever).

Naombeni niwaambie hakuna mtu anayeweza mkabili Dkt. Magufuli hata kidogo, mimi nasema atakae weza mkabili Magufuli nitatoa milioni tano cash.

Dkt. Magufuli sio wa mchezo kama mnavodhani, amefanya makubwa na nchi inaenda vizuri sana. Eleweni basi. Mnajisumbua wapinzani
 
Back
Top Bottom