Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Kwa mtazamo wangu hiki ulichosema si kweli.Ndoto bila mikakati madhubuti itabaki kuwa ndoto. Priorities za wapinzani katika nchi yetu hazijawahi kusimama wima tangu multiparty system irejeshwe nchini!
Wapinzani walikuwa na ajenda na vipaumbele vizuri sana miaka ya 1992 - 2000->hasa 1995. Pia kipindi cha 2007 - 2014 -> hasa 2008-2010.
Mwaka 2015 kila kitu kikabadilika kabisa na wapinzani wakapoteza muelekeo na wakaacha misingi na itikadi walizo zisimamia.
Mara nyingi kila chama cha upinzani kikifikia kwenye kilele cha mafanikio wanajisahau na kuanza kulewa sifa kisha wanapoteza muelekeo na kuvurugana sababu ya pesa au tamaa ya madaraka.