Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Tulia wewe ukikua ndio utajua kuwa Ccm ni chama dume.
We unaongezeka umri,haukui.Hakuna mtu ambae ubongo wake unakua na kufikia "busara za kiungwana" anaweza andika vitu vyepesi kama vyako halafu akakomaa vionekane deep.
Jitahidi kuwa rational unapoandika vitu vya msingi.Unless kama kila mara wewe ni mtu wa jokes.
 
Ndio nini?
 
Hao waliochukua fomu Chadema hata ubunge hawawezi kupata. Sasa wanapoteza muda bure kwa nini?
Kama juhudi za msingi kama hizo unaona ni kupoteza muda.Je hiki unachofanya tukiiteje.Una "ukimwi wa akili" ndugu yangu Mtanzania.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
Kaa chini tuliza akili uandike kitu cha kufikirisha, sio mtu unakurupuka tu kwa genye za kuanzisha threadπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Brain Masturbation
 
Kisu kimegusa makalio yako.Tulia kizame.
 
Kisu kimegusa makalio yako.Tulia kizame.
Unaona sasa akili zakoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
Hapo ndio uone tofauti ya kuongezeka umri na kukua ndugu "changu wa kwa malunde"πŸ˜ƒ.
Posho zitakuua...!!!
 
Nimeshakupuuza.
Umepuuza huku unatoa lugha ulizorithishwa na babu zako "mabaharia" hizo za makalio sijui nini.
Mpuuzi hawezi kupuuza anaishi na kusadifu nomino inayomstahili. MAN UP AND TALK SENSE
 

Daa ushaingiza elf tatu mkuu au mmepandishiwa sa hivi
 
Mstaafu Alhaji Mwinyi alisema atapata miaka mingine mitano ya zawadi. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee patamu hapo! Hapa Kazi Tu! Tanzania ya sasa inameremeta meremeta tu - Zuchu.
Mtu asiye na uhakika hata wa kumaliza miaka miwili anapata wapi ujasiri huo ?
 
Hivi huyo Lisu mbona anatembea kama crab nina wasi wasi hata akili yake inatembea hivyo hivyo
 
Kupitai Rais Magufuli hatimaye Chama, Serikali na Nchi imetulia na inafuata maadili.

Hongera JPM kwa hili
Dogo mwenye bachela ya aitii.. nasikia posho imepanda kutoka buku7. Nim kweli nami nijiunge kambi yenu.
 
Mstaafu Alhaji Mwinyi alisema atapata miaka mingine mitano ya zawadi. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee patamu hapo! Hapa Kazi Tu! Tanzania ya sasa inameremeta meremeta tu - Zuchu.
Ok mpatie mika 10 ya nyongeza. Sawa. Akishamaliza what next?
 
Nimetoka kumsikiliza chakubanga akihojiwa Azam - UTV. Anasema wameimarisha sana matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya kampeni.

Naamini hata posho yenu itakuwa si buku saba tena.

Nawapa kongole jingalao na wenzako wote kwa kuhamia kwenye uchumi wa kipato cha "lower - middle" .
 
Kupitai Rais Magufuli hatimaye Chama, Serikali na Nchi imetulia na inafuata maadili.

Hongera JPM kwa hili

Umelitendea haki jina lako. Kweli kabisa wewe ni JINGALAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…