Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Demokrasia ni kutumia common sense pia. Kama aliyepo madarakani anakubalika 100% kwa utekelezaji bora umuunge mkono.
Wewe mumeo anayekulisha hapo nyumbani kwako na wanao,mkiulizwa mnamkubali kiasi gani,si mtasema mnamkubali asilimia mia moja!!??
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama JPM?

Cham cha mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga Sgr kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama JPM?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Ruzuku ya chadema inasimamiwa vizuri ndiyo maana CAG alitoa hati safi ingawa CCM walimtuma atengenezwe zengwe shetani wap akafeli na sasa CCM wamewatuma takukuruccm nao wamekosa pa kupenyea, Ruzuku ya CCM inapigwa kifisadi sana na pesa nyingi inatumika kuidhoofisha chadema na kuua upinzani wakiwa na nia ya kurejesha mfumo wa chama kimoja, maendeleo ya Tanzania yanafanyika kwa pesa za walipa kodi siyo pesa binafsi za mwenyekiti wa CCM wala Hisani ya CCM,
 
We bwege nini? Ruzuku ya Chadema mlilipa kijanja Mbowe bil 8. Takukuru lazima wapeleke mahakamani. Ccm haina matumizi mabaya ya ruzuku kama unavyosema ndio maana inatumia vyema hata pesa za walipa kodi kuleta maendeleo kwa kuwabana mafisadi.
 
Bongo hatuna upinzani ni upuuzi sana
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Wapinzani wana nguvu na wanapendwa na wananchi ndiyo maana kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali
 
Wapo wapi akina kamuzu Banda, Robert mugabe, Elbashiri, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, mabutu, Abacha, idd Amin Dada? hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa.
Naona mmekosa hoja. Bora mngewashauri jamaa zenu wasichukue form.
 
Gambia, Ghana, Congo, Malawi walikuwa na vyama Asilia vilivyoleta Uhuru wao lakini vikaja kuwa na Tabia ya uonevu kwa wapinzani kama ilivyo CCM ya awamu ya tano, leo hii vipo wapi? CCM ipo siku uonevu uovu wao utafika mwisho tu.
 
Unaonekana huna hata akili na hata maana ya demokrasia uijui na ndio maana ndani ya chama chenu chakavu mmeshapisha form moja tu kwa ajili ya woga.

Ingekuwa hivyo kwa wazungu wangekuwa wanaunga juhudi kila siku kwa maendeleo yanayofanywa,lakini kuna uchaguzi kila msimu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hoja ipi lete hoja tukujibu
Mnafahamu kuwa JPM ni jembe na linatekeleza maendeleo kwa ajili ya watanzania na hao wagombea wenu hawana sifa za kupambana na JPM. Hamuoni aibu kufanya huo mchakato?
 
Unaonekana huna hata akili na hata maana ya demokrasia uijui na ndio maana ndani ya chama chenu chakavu mmeshapisha form moja tu kwa ajili ya woga.

Ingekuwa hivyo kwa wazungu wangekuwa wanaunga juhudi kila siku kwa maendeleo yanayofanywa,lakini kuna uchaguzi kila msimu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Habari za kuiga wazungu ndio maana mlisema mtaunga mkono ushoga. Sio kila kitu muige wazungu.
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Mnaogopa nini kushindana?
 
Nilikuambia huyo jamaa hajawahi kushinda kwa njia ya box la kura, hata hichi kilio chako ni hofu yako atakapotakiwa kushindana kwa hoja. Yeye anajisi box la kura ili uje hapa tukupe ukweli wenu.
 
Back
Top Bottom