Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #101
Hiki ndicho huishangaza Dunia yote, inakuaje CCM wanajinadi kuleta maendeleo lakini Hakuna demokrasia? Chaguzi zote ni uchakachuaji hakuna chaguzi wanashinda pasipo kuiba kura
[/QUOTE
Una uhakika na unachosema?Mbona huyo jpm akitajiwa tume huru ya uchaguzi anabanwa na tumbo la kuhara kama kweli anaamini aliyoyafanya ni mazuri kwa wananchi.
Kuna mtu anakubalika duniani kwa asilimia mia moja. Hata aliyetenda mema kama Yesu, bado walimuua. Gadafi alitenda mema sana tatizo lake lilikuwa kugandamiza demokrasia lakini hata hivyo walimuua. Ufanyike uchaguzi huru halafu utaangalia matokeo. Kweli Magufuli atapita lakini si kwa asilimia mia moja.Demokrasia ni kutumia common sense pia. Kama aliyepo madarakani anakubalika 100% kwa utekelezaji bora umuunge mkono.
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.
Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.
Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.
Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.
Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Kwani Tanzania hakuna chaguzi huru? Kwani yanayofanyika hapa Tanzania yanafanana na ya kule Libya?Kuna mtu anakubalika duniani kwa asilimia mia moja. Hata aliyetenda mema kama Yesu, bado walimuua. Gadafi alitenda mema sana tatizo lake lilikuwa kugandamiza demokrasia lakini hata hivyo walimuua. Ufanyike uchaguzi huru halafu utaangalia matokeo. Kweli Magufuli atapita lakini si kwa asilimia mia moja.
Umeeandika mistari mingi lakini hujaangalia kuwa wananchi wataangalia nini Ccm imetekeleza kwa manufaa ya wananchi. Kama mwananchi amejengewa kituo cha afya ambacho kimesogeza huduma ya afya lazima achague Ccm.Woga umewajaa. Maelezo haya yanaonyesha juu ya wapenzi wa CCM:
- Kuwa na wasi wasi na wapiga kura wao kuwapiga chenga
- Kuelewa kuwa maendeleo yaliyofanywa hayajawafikia moja kwa moja zaidi ya wananchi 80% (mfano- mkulima)
- Ukali wa maisha upo kileleni/ Vyuma kukaza kama ukipenda
- Hawana hakika kama Kandidate wao atakuwa na kauli ya unyenyekevu kwa wapiga kura kwa vile kama Raisi amekuwa na kauli chungu
- Kama kweli CCM ni maarufu kama vile inavyoelezwa na wakuu wa chama. Na kama hivyo ndivyo wanajiuliza kwanini chama tawala kinawaweka ndani na kuwazushia kesi wapinzani hata pale walipokuwa na haki ya kufanya mikutano.
- Kama matokeo ya uchaguzi yatakubalika na mataifa ya nje, rafiki wa TZ.
- Kama amani ya kweli itapatikana baada ya uchaguzi si tu nje ya CCM bali hata ndani ya chama.
1. Ujue kwamba kila mtu anayetaka kugombea urais ameona kwamba ana plan zake nzuri zaidi ya kuongoza na kuifikisha Tz mahali pazuri.Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.
Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.
Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.
Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.
Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Anavunja sheria za nchi? Hafuati katiba na sheria za nchi? Ameminya demokrasia? Kama ameminya demokrasia watu wangekuwa na uhuru kama huu? Hata kama anatekeleza miradi iliyoasisiwa na waliomtanguliwa wote ni Ccm, kwa hiyo wanapokezana vijiti tu.1. Ujue kwamba kila mtu anayetaka kugombea urais ameona kwamba ana plan zake nzuri zaidi ya kuongoza na kuifikisha Tz mahali pazuri.
2. Magufuli ni mtendaji mzuri, ila ndio namba moja wa kuvunja sheria za nchi, anafanya anavyotaka yeye, haangalii katiba ya nchi inasemaje.
3. Miradi yote mikubwa anayoitekeleza haiaibuni yeye, ilibuniwa na waliomtangulia, yeye anatekeleza tu, na bila hata kupitishwa na bunge kama taratibu za nchi zinavyotaka.
Mradi aliobuni yeye ni daraja la Mfugale na daraja la Salender.
4. Ameminya demokrasia na kutaka kuua vyama vya upinzani kwa gharama yoyote ile.
5. Ameminya uhuru wa wananchi kiasi kwamba hata kama una maoni yoyote tofauti ukiyatoa uwe umejitoa muhanga.
Kwa yote hayo hapo juu, unafikiri hakuna mtu anayeweza kufanya vizuri zaidi?
June 2022 mradi utapokamilika ndio utapofaidi matunda ya Ccm kama unavyofaidi sasa.Ww kama ww kwa kiwango chako cha uelewa, si vibaya ukiamini unacholishwa jukwaani, sisi wenye akili zetu tunaujua mchezo wote.
June 2022 mradi utapokamilika ndio utapofaidi matunda ya Ccm kama unavyofaidi sasa.
Tanzania haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, huto tunaendelea kidogo ni pesa za walipa kodi siyo Hisani za CCM na si pesa binafsi za CCM acha kujisifia maendeleo kiduchu yatokanayo na pesa za walipa kodi.Fikiri kwa kutumia akili sio minyoo. Tanzania ya mwaka 1961 ndio ya leo kimendeleo ?
Pesa za walipa kodi ndizo hutukeleza Hiyo miradi midogo sana isiyo endapo na rasilimali halisi ya Tanzania, kwanza kuna ufisadi mkubwa kwenye miradi mingi wewe ni mnufaika wa 10% za hiyo miradi yote.
5- kuwabambikia kesi wapinzaniSawa amefanya yake lakini
1.Kwenye elimu ya msingi amefeli mazima yaani bado watoto wetu wanakaa chini?karne ya 21,miaka 59 baada ya uhuru.
2.Kwenye ajira pia nako ni tatizo tena kubwa sana yaani amekosa ubunifu wa kutengeneza ajira.
3.vipi haki za binadamu?
4.kutopandisha mishahara miaka mitano?
Kuwabambikia kesi wapinzani ni demokrasia?Una uhakika na unachosema?
Kukosa Akili ni kuamini ujinga wa Dr molel mjinga mjinga kitendo cha kuamini propaganda za Dr molel huko ndiko kukosa akili,Fbi wanahusika vipi na jinai za Tanzania? Au ndio kukosa akili? Na Dk Mollel afanye propaganda kwa ishu kama hii?
Wewe ndiyo huna Hoja uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho nadhani leo umevuta Bangi nyingi zaidi ya jana na juziHuna hoja za msingi zaidi ya chuki.