Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

We bwege nini? Ruzuku ya Chadema mlilipa kijanja Mbowe bil 8. Takukuru lazima wapeleke mahakamani. Ccm haina matumizi mabaya ya ruzuku kama unavyosema ndio maana inatumia vyema hata pesa za walipa kodi kuleta maendeleo kwa kuwabana mafisadi.
Ruzuku ya CCM ina ufisadi wa kutisha ni bahati CAG hajapewa uhuru wa kuikagua hata Takukuru wakiruhusiwa kuikagua CCM wengi watafungwa jela, CCM haitumii vyema pesa za walipa kodi na haijaleta maendeleo zaidi ya kutumia pesa vibaya kudhoofisha kuihujumu chadema kuua upinzani.
 
Huoni kinachoendelea Dodoma?
Mmekusanya watu kwa kuwagharamia wawepo huko lakini kwa ridhaa yao wasingekusanyika hivyo, wengi waliopo hapo moyoni siyo CCM ingawa wamevaa mavazi ya CCM kwa ajili ya kusaka riziki.
 
Chadema imeuliwa na Mbowe na Joyce Mukya baada kuendekeza ufisadi na kukwapua bil 8.
 
Mmekusanya watu kwa kuwagharamia wawepo huko lakini kwa ridhaa yao wasingekusanyika hivyo, wengi waliopo hapo moyoni siyo CCM ingawa wamevaa mavazi ya CCM kwa ajili ya kusaka riziki.
Ahaaaaa. Umekunywa Konyagi na kuvuta bangi.
 
Mahaba yametoka wapi? Tumia common sense kabla ya kufanya maamuzi.
Mnawaleta kina Azory, Ben Saanane, Kina Akwilini ili watu wawaamini kuwapigia kura??
Mhs Lissu hamjakamata waliompiga risasi, amepona anakuja kama ushahidi wa wazi unaotembea!!
Mmegeuza Watanzania ni misukule ya kuwalimia mashamba??
Hoja zipo ruhusuni kampeini zianze ili tujue ukweli wa mbivu na mbichi!!
 
Mh...
 
Wewe ni mpuuzi unawezaje kujua upuuzi? Chaguzi za marudio zimetumia bilion kibao ukichanganya na za kuwanunua madiwani wabunge wanachama wa upinzani kuwalipa akina cyprian Musiba na wenzao kutengeneza propaganda za kishamba shamba kama zako,trilion kibao zimepotea kwa mambo ya kijinga jinga ukiongeza na trilion 1.5 mliyopiga mkamtoa kafara CAG na bilion 12 za Ndungai zinatosha kuleta maendeleo yote niliyoyataja ruzuku ya CCM ndiyo inaibiwa kutumika kudhoofisha chadema inafanya kazi haramu zisizo na tija kwa Taifa , wewe na madalali wa CCM wenzako huko CCM ndiyo mnaitafuna ruzuku ya CCM kifisadi kwa kisingizio cha kurejesha mfumo wa chama kimoja.
 
Chadema imeuliwa na Mbowe na Joyce Mukya baada kuendekeza ufisadi na kukwapua bil 8.
Takukuruccm wameacha kuikagua ruzuku ya CCM inayotumika kufanya matendo haramu wanaenda chadema kulazimisha kuwabambikia kesi, ruzuku ya chadema inatumika vizuri ikiwemo kugharamia mawakili wanaoendesha kesi kibao mlizowabambikia kwa njia haramu na kienyeji.
 
Mfumo wa chama kimoja utarudi vipi? Wakati katiba inasema hii nchi inafuata mfumo wa vyama vingi!
Habari za uongo za kukwapua tril 1.5 na bil 12 za matibabu ya Ndugai ndio zinakufanya uonekane mbumbumbu. Maana PAC walitoa majibu hamna ufisadi.
Chadema imejifia yenyewe. Na ulitaka chaguzi za marudio zisifanyike wakati watu wenye akili wanakimbia Chadema ya Mbowe na Joyce Mukya.
 
sababu za kumwondoa madarakani October ni nyingi, lakini mimi nitakuonyesha hii moja tu... soma hapa chini.

World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!
 
Chagu, kama hawanunuliwi, mbona mnawawekea makada wenu masharti ya kutowapinga wahamiaji ili warudie vyeo vyao ?!
 
Mbumbumbu ni wewe mnufaika wa mgao wa bilion za Ndungai na trilion 1.5 mlozokula mkawapa Rushwa PAC akina kibajaji wawasafishe kishamba shamba mkizani watanzania ni wajinga kama wewe, Nchi ni mfumo wa vyama vingi ndiyo lakini madalali wa siasa huko CCM mmetengeneza mradi haramu wa kula pesa za ruzuku ya CCM kwa kisingizio cha kudhoofisha upinzani ili mpate kurejesha mfumo wa chama kimoja.
 
Ahaaaaa. Hakuna mfumo wa chama kimoja ila umepima upepo na umeona hamtoboi. Bunge na madiwani itakuwa kijani tupu.
 
Jaduong unaiamini habari ya uongo iliyowekwa twitter? Hakuna sharti kama hilo.
ile habari ilikuwa kweli baada ya CCM kuona wamevutunda kwa kusambaza ujinga wakaja na kisingizio kuwa ni feki ili kuwahadaa watanzania, CCM Tambueni kuwa watanzania wameamka wanajua sinema zenu zote
 
Jaduong unaiamini habari ya uongo iliyowekwa twitter? Hakuna sharti kama hilo.
Tumeona wabunge wote waliounga juhudi kuanzia Serengeti, Ukerewe, Kinondoni, Bahati, Hai nk nk.
Ni mwanachama yupi ndani ya Ccm aliyejitokeza kuwachalange hao waliounga juhudi ?!. Yupi sema.

Na sasa nasikia na Momba . Aibu, sema mnanyamazishwa na mamlaka . Lakini jamaa kaigeuza chama kikaragosi ni vile anavyotaka.
 
Ingekuwa amri yangu Mada kama hizi zisingepata nafasi hapa Jf,
Moderators, ni bora mkafutilia mbali mbali huu uharo
 
CCM haijawahi kuwa na mgombea zaifu na haitotokea hata baada ya Magufuri. Hii ni kwa mjibu ya wanaitikadi wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…