Wewe ni mpuuzi unawezaje kujua upuuzi? Chaguzi za marudio zimetumia bilion kibao ukichanganya na za kuwanunua madiwani wabunge wanachama wa upinzani kuwalipa akina cyprian Musiba na wenzao kutengeneza propaganda za kishamba shamba kama zako,trilion kibao zimepotea kwa mambo ya kijinga jinga ukiongeza na trilion 1.5 mliyopiga mkamtoa kafara CAG na bilion 12 za Ndungai zinatosha kuleta maendeleo yote niliyoyataja ruzuku ya CCM ndiyo inaibiwa kutumika kudhoofisha chadema inafanya kazi haramu zisizo na tija kwa Taifa , wewe na madalali wa CCM wenzako huko CCM ndiyo mnaitafuna ruzuku ya CCM kifisadi kwa kisingizio cha kurejesha mfumo wa chama kimoja.