Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

~ Akili yako inajua wote ni wanafki na wafuata upepo kama ziziem
 
Kama mpaka siasa hujaona Kosa kubwa la Mbowe akiwa kubadili katiba na kuondoa ukomo wa Uongozi wa Uenyekiti ndani ya Chadema basi utakua unakosea sana kuilaumu CCM na Magufuli ambaye ameshika Urais wenye mamlaka makubwa sana kikatiba lakini mapaka sasa ameshatangaza zaidi ya Mara NNE kuwa hawabadili katiba kujiongezea muda.
Lakini pia katiba mkuu wa CCM amatangaza hazarani kuwa Mh.Magufuli hataongezewa hata siku 100 muda wake utakapo isha.
Ndani ya Chadema hakuna mtu mwenye ujasiri wa kutangaza kuwa Mbowe hataongezewa muda baada ya kipindi chake cha miaka kumi kuisha.
Badala yake watu wakashindwa kumkemea Mbowe na sasa ameota mizizi na kujimilikisha Chama na ruzuku yake.
Mwakani ruzuku ni bora ifutwe kwenye vyama vya watu binafsi.
Hatuwezi kuona fedha za walipa kodi zinatumiwa kihuni huni . huku chama kikiwa hakina hata choo ilichojenga achilia mbali ofisi makao makuu.
Yani kweli Chama kina miaka 28 hakina ofisi za makao makuu.
Kweli kabisa mnamsifia Mbowe kwa kufanya nini zaidi ya maandamano ya kuua watoto wa watu .

Huyo Mbowe Uchaguzi mwaka huu ukiisha asithubutu kujipitisha mitaani akijiita Mwenyekiti atakula bakora za mgongoni. Emevuruga sana Chama na kukifanya kionekane kuwa ni chama cha hovyo kabisa.
Mbowe hajavuruga chama, Chama kinavurugwa na system .
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Kama gadafi pamoja na KUWAPA kila kitu....watu wa Libya akawanyima kitu kinacho itwa demokrasia

Maraisi wetu wa ki afrika Wana mengi ya kujifunza KUTOKA kweny utawala wa gadafi

Mwalimu nyerere aliwai SEMA kila nilipo taka kung'atuka Kuna baadhi ya watu walinambia Mwalimu usi ng'atuke hii nchi bado changa...

Badae Mwalimu alikuja gundua nchi changa iliyokua inazungumziwa Ni MATUMBO yao na familia Zao....

Namshauri Mr.president muda ukifika achia ngazi uta heshimika Sana
 
System ni watu wanaopigania maslahi yao kabla ya maslahi ya nchi.
Ni watu wanaojua utamu wa Kodi za wananchi ukiwa na madaraka.
Usitegemee hata siku moja wakupa nafasi nzuri ya kuwashinda na kuwatoa.
Mikakati ya chama husika ndiyo inayowafanya wakubali kufuata sheria na Katiba.
Ukiendesha Siasa zisizo na mipango ya mbali utawekewa vikwazo Vingi sana.

Kumbuka CCM ni watu walioshiba rasilimali za nchi hii pamoja na familia zao . Wanawaza kurithishana madaraka hata kwa nguvu ya familia wakishirikiana na wale waliowapa nafasi kwenye dola.
Enzi za Mkapa na hata JK pia walivuruga mana.

Zito mbona ameweza kujijenga kwa muda mfupi?
Kosa ni Mwenyekiti mbinafsi.
 
Cdm yaweza kuwa na kasoro, lakini huwezi kulinganisha na yale ndani ya Ccm . Sema Ccm inabebwa na mamlaka na hakuna mwenye uthubutu wa kuhoji . Mifano ni mingi tunayo
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Mtu akitaka kugombea uraisi in dhambi? Ni lazima kila mtu akubaliane na mawazo yako? Sijakuelewa. Wewe hutaki wengine wagombee ili uweje? Je! Kuna mshindi anaepatikana bila ushindani? Je! Ubora wa mtu hupimwa kwa kigezo kimoja tu? Wenye kudhamuria kugombea wana haki sawa na yeye. Sanduku la kura ndilo litakaloamua. Sio utashi wa mtu mmoja.
 
I can conclude that you don't know the meaning of opposition parties and the roles that they are playing in the country.
Pathetic
 
Cdm yaweza kuwa na kasoro, lakini huwezi kulinganisha na yale ndani ya Ccm . Sema Ccm inabebwa na mamlaka na hakuna mwenye uthubutu wa kuhoji . Mifano ni mingi tunayo
No, tatizo ni wapinzani wenyewe hasa Chadema.
Mbowe amechanganya chuki binafsi na Siasa.
Hapo ndipo alipofeli kabisa. Mbaya zaidi akawa na watu wake wa karibu wanaomuona kama ndiye chama na wakawaaminisha watu kuwa bila Mbowe hakuna Chadema. Yani Chama chenye Mashabiki na wanachama zaidi ya mil.6 + kinakua ni kidogo kuliko Mtu mmoja kisa yeye ni tajiri na anakopesha Chama.
Uongo mtupu. Utakopeshaje chama Chenye Ruzuku zaidi ya mil.300. Chama cha zito sidhani kama kina ruzuku zaidi ya mil. 25 lakini kwa sasa ndicho kitakachokuwa chama kikuu cha upinzani.

Hivi kina palikua na sababu gani kuendesha Chama cha Demokrasia kidikteta kama anavyofanya Mbowe??

Huna dola unapoonyesha mbinu zote za kidikteta eti ni misimamo ya Chama bado ni ujinga mana huko ni kuzuia watu kutoa mawazo yao au kupinga mawazo yako jambo ambalo ni haki ya mtu yeyote mpenda Demokrasia.
Vijana wengi kukimbilia Chadema ni kwa sababu ndani ya CCM hawakua na nafasi ya kuonyesha mawazo yao. Lakini cha ajabu Mbowe akaiga mfumo ule ule wa CCM wa kufukuzana na kupangiana cha kusema kisa eti ni msimamo wa viongozi.
Yote ni hasira ya Mbowe kuharibiwa biashara zake. Anasahau kuwa yeye amepoteza Mali lakini wapo waliopoteaa uhai kwa ajili ya kujenga chama, wapo waliopigwa risasi, wapo waliofukuzwa kazi kwa ajili ya Chadema.
Watu waligombana na ndugu zao n.k. Lakini Mbowe anasimama na kuwaita wanachama wote kuwa ni wasaliti wanaoweza kuuza chama.Yeye pekee ndiye mjenzi wa Chama.

Aina hii ya kuwadhibiti watu ndani ya chama kwa kuwatisha na kuwafukuza inapaswa kufanyika ndani ya Chama kinachoshika hatamu sio chama cha kidemokrasia.
Demokrasia inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kabisa.
Sasa kama Mbowe alishindwa kumvumilia Zito Kabwe waliyepambana kukijenga chama toka akiwa Chuo kikuu ataweza vipi kuwavumilia wengine nje ya Chadema?

Hata Mfumo anaoutumia mkuu wa kaya wa sasa ameiga kutoka Chadema.
Mbowe alitakiwa abadili namna ya utekelezaji wa kupigania Demokrasia ndani ya Chadema ili watu wote waone tofauti kubwa ya CCM na Chadema. Kila mtu angekua na matumaini ya kuona nchi ina sababu ya kupata chama mbadala.

Kuna wabunge na madiwani wamefukuzwa eti kwa sababu wamehudhuria mikutano ya Mh.Rais akizindua shughuli za maendeleo. Hivi hiyo kweli ni Sera.?
Ni akili hiyo au matope?
Kwa nini asisimamie Democrasia pana ya mtu kuweza kuwa na Uhuru wa kupata taarifa na kuhudhuria shughuli za ujenzi wa Taifa bila kufukuzana?
Kosa la diwani au mbunge kuhudhuria mkutano wa uzinduzi wa Mkuu wa mkoa ni nini mpaka afukuzwe kazi?
Palikua na sababu gani ya kuandaa wahuni kumhujumu Sumaye Mtanzania aliyewahi kuwa waziri mkuu.?
Demokrasia gani ya kupangiana cha kufanya na kusema na kupangiwa marafiki japo hakuna hujuma ya wazi iliyothibitika zaidi ya hisia na fitina??
DAWA YA CHUKI NI UPENDO.
Mbowe alifeli kabisa kwa sababu alitaka kuondoa chuki kwa chuki zaidi.
Wabunge wa CCM wanaongea muda wao lakini wapinzani hasa Chadema wakiongozwa na Mbowe wanazomea na kutoa lugha za kejeli. Demokrasia gani wanaifundisha Jamii?
Nakumbuka hata mkutano wao mkuu wajumbe wa Chadema na akili zao walimzomea Shibuda bila aibu.
Demokrasia ilitakiwa iwafundishe kukubali kusikiliza mawazo tofauti na yale wanayotaka.

Tunajifunza nini Chadema ambacho hakipo CCM?

Mbowe amesababisha hata wale waliokimbia CUF wakashindwa kujiunga na Chadema baada ya kuona kuna Mwenyekiti ambaye pia ni mmiliki wa Chama atawasumbua muda sio mrefu na kuwatishia kuwafukuza kila kukicha.
 
Umezungumza kwa uchungu dhidi ya Mbowe . Mbowe ni binaadamu kama wengine, aweza kuwa na madhaifu yake sipingi. Lakini kama mpinzani wa Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti, leo mwenyekiti wa Ccm anaagiza asipingwe jimboni !!. Huoni kuwa bora chama kilibaki mikononi mwa Mbowe kuliko huyo ?!. Chama hicho kilipandikizwa vichomi (wasaliti) wengi. Yahitaji umakini kuamua jambo.

Pili chama kimewekewa mazingira ya kutokujijenga , toka uchaguzi wa 2015 mpaka hivi wanaingia kwenye uchaguzi huu wa 2020 . Na kwa nature ya WaTz tutarusha lawama kwa Cdm , bila kuangalia chanzo. Dola ipo makini kuhakikisha chama hicho hakipigi hatua mbele , bali nyuma.

Pale ulipozungumzia kuharibiwa mali na biashara zake (Mbowe) na wengine kuuliwa na kulemazwa pia kesi zisizoisha. Ni KWELI. Lakini yoote hii ni kwa sababu katiba ya nchi yetu ni mbovu na imejaa elements za ukoloni na u communist . Laiti tungelikuwa na katiba nzuri, hata katiba ya vyama kusingekuwa na loophole ya kuongozwa na madikteta kama ilivyo kwa Ccm , Cuf na Cdm . Wanapata mianya hiyo kwa sababu ya udhaifu wa katiba mama ya nchi.

Sasa katiba, tume, democracy nk vidaiwe na nani ?! Si kazi ya Cdm peke yake . Bali wananchi wote . Na wananchi hawana mwamuko . Wanadhani hayawahusu !!!.
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??

1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.

2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.

3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).

4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.

Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
 
Umezungumza kwa uchungu dhidi ya Mbowe . Mbowe ni binaadamu kama wengine, aweza kuwa na madhaifu yake sipingi. Lakini kama mpinzani wa Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti, leo mwenyekiti wa Ccm anaagiza asipingwe jimboni !!. Huoni kuwa bora chama kilibaki mikononi mwa Mbowe kuliko huyo ?!. Chama hicho kilipandikizwa vichomi (wasaliti) wengi. Yahitaji umakini kuamua jambo.

Pili chama kimewekewa mazingira ya kutokujijenga , toka uchaguzi wa 2015 mpaka hivi wanaingia kwenye uchaguzi huu wa 2020 . Na kwa nature ya WaTz tutarusha lawama kwa Cdm , bila kuangalia chanzo. Dola ipo makini kuhakikisha chama hicho hakipigi hatua mbele , bali nyuma.

Pale ulipozungumzia kuharibiwa mali na biashara zake (Mbowe) na wengine kuuliwa na kulemazwa pia kesi zisizoisha. Ni KWELI. Lakini yoote hii ni kwa sababu katiba ya nchi yetu ni mbovu na imejaa elements za ukoloni na u communist . Laiti tungelikuwa na katiba nzuri, hata katiba ya vyama kusingekuwa na loophole ya kuongozwa na madikteta kama ilivyo kwa Ccm , Cuf na Cdm . Wanapata mianya hiyo kwa sababu ya udhaifu wa katiba mama ya nchi.

Sasa katiba, tume, democracy nk vidaiwe na nani ?! Si kazi ya Cdm peke yake . Bali wananchi wote . Na wananchi hawana mwamuko . Wanadhani hayawahusu !!!.
Pesa zilitumika kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana ni pesa ambazo zingeweza kupelekwa kwenye kwenye maendeleo na CCM wangevuna kura kiwepesi kuliko kuwatesa chadema kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote
 
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??

1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.

2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.

3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).

4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.

Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Nonsense.
 
Mtu akitaka kugombea uraisi in dhambi? Ni lazima kila mtu akubaliane na mawazo yako? Sijakuelewa. Wewe hutaki wengine wagombee ili uweje? Je! Kuna mshindi anaepatikana bila ushindani? Je! Ubora wa mtu hupimwa kwa kigezo kimoja tu? Wenye kudhamuria kugombea wana haki sawa na yeye. Sanduku la kura ndilo litakaloamua. Sio utashi wa mtu mmoja.
Stupid idea.
 
Kama gadafi pamoja na KUWAPA kila kitu....watu wa Libya akawanyima kitu kinacho itwa demokrasia

Maraisi wetu wa ki afrika Wana mengi ya kujifunza KUTOKA kweny utawala wa gadafi

Mwalimu nyerere aliwai SEMA kila nilipo taka kung'atuka Kuna baadhi ya watu walinambia Mwalimu usi ng'atuke hii nchi bado changa...

Badae Mwalimu alikuja gundua nchi changa iliyokua inazungumziwa Ni MATUMBO yao na familia Zao....

Namshauri Mr.president muda ukifika achia ngazi uta heshimika Sana
Foolish and stupid idea
 
Ninawashangaa sana baadhi ya watanzania walio ni fikra ndogo na upeo mdogo wa kufanya upembuzi yakinifu juu ya nani atashinda u rais mwaka huu.yani unakuta mtu anasimama kabisa na kusema eti Lissu anauwezo wa kumkabili Magufuli (best president ever).

Naombeni niwaambie hakuna mtu anayeweza mkabili Dkt. Magufuli hata kidogo, mimi nasema atakae weza mkabili Magufuli nitatoa milioni tano cash.

Dkt. Magufuli sio wa mchezo kama mnavodhani, amefanya makubwa na nchi inaenda vizuri sana. Eleweni basi. Mnajisumbua wapinzani
 
Back
Top Bottom