Uchaguzi 2020 Wapinzani msimuamini sana Membe kwa yoyote atakayosema na kuyatenda kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu baadae mwaka huu

Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.

Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.

Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.

Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Kwa wale ambao siyo wana Siasa, Mh. Dr. Reginald Mengi (RIP) anaingia moja kwa moja kwenye kundi hl Huwa nahisi Jenerali Ulimwengu pia, japo sijawahi kumsikia kama ana mali nyingi au la!
 
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.

Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.

Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.

Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Kamanda Membe anahusika sana kambini ni suala la wakati tuu ukifika tutawaonesha shoo ilivyo.
 
Walikubaliana jiwe aongoze muhula mmoja badae membe amalizie mwingine!!jiwe kagoma kuondoka na anaandaa mazingira ya kufia madqdarakani!!
Acha ujinga! Mafisadi wameshindwa kuvumilia maisha yamekuwa magumu Sana, uvumilivu imewashinda, chuma kimewasimamia barabara! Wanapambana kwa Hali yote wairudishe mirija ya kumuonya watz!
 
Membe anaworth lkn mjue n propagabdalist wa hatari

Gesi ya Mtwara yeye ndiye alikuwa nyuma ya ajenda nyingi za matumaini lkn kwenye maandiko hazikuwepo

Membe anafaa 2025, sasa anapima siasa ya urais kwa hiyo tujue membe ni WA 2021-2025 huku kwingine maigizo
 
Naungana na ww kwa 100% , ya 2015 yalitosha kujifunza...wengi watakuja kwetu lkn sio wa kwetu, tujihadhari sana...mhe.Lissu anatosha mnoo
Kwani hata wakati "tunajifunza" hatukujua kwamba lilikuwa kosa? Tatizo lilikuwa ni njia ya kukuza chama na kuongeza idadi ya wabunge.
NATANUA MJADALA:
Nilipata kuandika humu kabla ya uchaguzi 2010 MTU YEYOTE/KIONGOZI YEYOTE ALIYEPATA KUWA CCM HAWEZI KUWA MPINZANI KWANI MAJI HAYASAHAU BARIDI. WENGI WA VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI TUNAOWASIFU NA KUWAONA MASHUJAA HAWAKUWA HUKO?
HAIKUTOSHA NIKAANDIKA VYAMA VYETU VYA UPINZANI HAVINA MIPANGO MKAKATI YA MUDA WA KATI NA MREFU BALI TIA MAJI TIA MAJI UNAPOKARIBIA UCHAGUZI NDIPO TUNAANZA KUDAI TUME HURU NA KUTAKA VYAMA VISHIRIKIANE!!
HAKUNA KUPAKANA MAFUTA:VITA YA PANZI ITABAKI KUWA FAIDA KWA KUNGURU.
HUU UTENGANO ULIOPO SASA HAUWEZI ONDOKA KWA KATIBA HII KWANI INGEKUWA KATIBA IKO VIZURI KILA CHAMA KINGEKUSANYA KURA ZAKE KWA KUTUMIA MGOMBEA WAKE WA URAIS NA MWISHO PANGEPATIKANA SERIKALI YA MUUNGANO WA VYAMA.
HITIMISHO:Ni kwa nguvu ya miujiza pekee sisi kupata wabunge wa kutosha bunge lijalo!! Wapo wananchi wengi tu walioichoka ccm na utawala wake lakini vyama vyetu vinashindwa kuwajenga wananchi hao kuviamini katika sera zake bali vinataka kuonewa huruma!! CCM imechoka, imezeeka haina mpya sijui kuiondoa tunafelishwa wapi!?
Haipingiki WANANCHI BAADHI HAWAJITAMBUI AMA WANAFUATA MDUNDO NA MATARUMBETA KWA SABABU JIRANI KAPEWA CHUMVI NAYE ANATARAJISHWA KUPEWA MKATE - UJINGA NA UMASKINI!!! Kesi ya viongozi wa CDM ni mfano tosha wa utayari wa wananchi... mpira unarudi kwa viongozi wa vyama pinzani.
 
Acha ujinga! Mafisadi wameshindwa kuvumilia maisha yamekuwa magumu Sana, uvumilivu imewashinda, chuma kimewasimamia barabara! Wanapambana kwa Hali yote wairudishe mirija ya kumuonya watz!
Kwa hiyo mafisadi hao baada ya kubanwa wamerudi kwenye chama chao ufisadi wao ukiwa umeisha au?
 
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.

Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.

Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.

Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Upinzani hawana watu mkuu. Inabidi membe agombee angalau wapate wabunge.
 
Kwa hiyo mafisadi hao baada ya kubanwa wamerudi kwenye chama chao ufisadi wao ukiwa umeisha au?
Chama kipi hicho! Waliopo ccm wameamua kukubali yaishe! Wanagugumia kwa maumivu kimyakimya! Hao waliojiingiza na kujitokeza Kama vyama vya upinzani bado kuelekea SoMo, ngoja waangukie pia ndio akili zitawarudia!
 
Nachojua ni kwamba membe atarudi ccm baada ya uchaguzi Kama alivofanya lowassa wapinzani wanaonekana Kama sehemu ya majaribio

👍
Ni afadhali hayo mapandikizi yaendelee kuja kwenye upinzani maana wengi wanaokuja nao huwa hawarudi nao.
UKWELI MCHUNGU:
HIVI VYAMA VYA UPINZANI TUNAVYOJISIFU NAVYO LEO TAKRIBAN VYOTE NI MAPANDIKIZI YA CCM
 
Wahenga walisema sikio la kufa halikii dawa. Historia huwa ina kanuni ya kujirudia. Chelea chelea utakuta mwana si wako. Ukicheza na utaambulia .... Mgaagaa na upwa .....

Ujio wa Lowassa mwaka 2015 ulivipasua vyama vya chadema na CUF. Chadema iligawanyika vipande viwili ie chadema asili (ya Dr Slaa) na Chadema masilahi (ya Mh. Mbowe). CUF nayo ilipasuka vipande viwili ie CUF- Lipumba na CUF- Seif. Matokeo ya mipasuko hii tumeishuhudia.

Miaka ya tisini tulishuhudia mpasuko wa aina hiyo kwa chama kikuu cha upinzani wakati huo cha NCCR -Mageuzi uliosababishwa na mashushu wabobezi ie Augustino Mrema na Marando.

Je, mwaka huu huyu shushushu mbobezi, Membe, kweli atashindwa kufanya kile walichokifanya watangulizi wake?

Siasa za Tanzania ni burudani ya kutosha. Mwaka huu tutashuhudia Nyarandu na Membe wote CCM wakigombea kiti cha uraisi na mwana CCM mwenzao wakijinadi wanatoka vyama pinzani!
 
Ni afadhali hayo mapandikizi yaendelee kuja kwenye upinzani maana wengi wanaokuja nao huwa hawarudi nao.
UKWELI MCHUNGU:
HIVI VYAMA VYA UPINZANI TUNAVYOJISIFU NAVYO LEO TAKRIBAN VYOTE NI MAPANDIKIZI YA CCM
. Shuhudia kitakacho tokea hatuna vyama vya upinzani Bali tunao waotaka madaraka mtu anahama kisa kakosa fursa hiyo bc anailazimisha imfikie ujinga ,2
 
Back
Top Bottom