Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Utamaduni wa chama unaujua?Magufuli hatoongoza vikao vya uteuzi maana na yeye ni mgombea
ila uyu kwa vile ni mcha mungu ataongoza tu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamaduni wa chama unaujua?Magufuli hatoongoza vikao vya uteuzi maana na yeye ni mgombea
Mimi sijawahi kumuamini mwana siasa yeyoteMbona mnawaamini Lissu na Mbowe?
Kwa wale ambao siyo wana Siasa, Mh. Dr. Reginald Mengi (RIP) anaingia moja kwa moja kwenye kundi hl Huwa nahisi Jenerali Ulimwengu pia, japo sijawahi kumsikia kama ana mali nyingi au la!Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.
Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.
Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.
Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Chadema ndio wamekuwa wakimshabikia sana. Soma Tanzania Daima ya Alhamis au Ijumaa uone. Sasa kama wanaamini ni jembe, akagombee kwao. CCM kuna JPM!NCCR Mageuzi
Kamanda Membe anahusika sana kambini ni suala la wakati tuu ukifika tutawaonesha shoo ilivyo.Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.
Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.
Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.
Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Utaenda wapi?Huyu lissu mnayempigia upatu humu akipeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi huu wa mwaka 2020 nahama nchi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga! Mafisadi wameshindwa kuvumilia maisha yamekuwa magumu Sana, uvumilivu imewashinda, chuma kimewasimamia barabara! Wanapambana kwa Hali yote wairudishe mirija ya kumuonya watz!Walikubaliana jiwe aongoze muhula mmoja badae membe amalizie mwingine!!jiwe kagoma kuondoka na anaandaa mazingira ya kufia madqdarakani!!
Kwani hata wakati "tunajifunza" hatukujua kwamba lilikuwa kosa? Tatizo lilikuwa ni njia ya kukuza chama na kuongeza idadi ya wabunge.Naungana na ww kwa 100% , ya 2015 yalitosha kujifunza...wengi watakuja kwetu lkn sio wa kwetu, tujihadhari sana...mhe.Lissu anatosha mnoo
Kwa hiyo mafisadi hao baada ya kubanwa wamerudi kwenye chama chao ufisadi wao ukiwa umeisha au?Acha ujinga! Mafisadi wameshindwa kuvumilia maisha yamekuwa magumu Sana, uvumilivu imewashinda, chuma kimewasimamia barabara! Wanapambana kwa Hali yote wairudishe mirija ya kumuonya watz!
Nchi hii mafisadi hawajawahi kuwa nje ya mfumo wa ccmKwa hiyo mafisadi hao baada ya kubanwa wamerudi kwenye chama chao ufisadi wao ukiwa umeisha au?
"...Njooni kwenye chama chetu mneemeke!!" Fredwaa Sumai enzi za Che NkapaNchi hii mafisadi hawajawahi kuwa nje ya mfumo wa ccm
Upinzani hawana watu mkuu. Inabidi membe agombee angalau wapate wabunge.Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.
Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.
Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.
Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Chama kipi hicho! Waliopo ccm wameamua kukubali yaishe! Wanagugumia kwa maumivu kimyakimya! Hao waliojiingiza na kujitokeza Kama vyama vya upinzani bado kuelekea SoMo, ngoja waangukie pia ndio akili zitawarudia!Kwa hiyo mafisadi hao baada ya kubanwa wamerudi kwenye chama chao ufisadi wao ukiwa umeisha au?
Ni afadhali hayo mapandikizi yaendelee kuja kwenye upinzani maana wengi wanaokuja nao huwa hawarudi nao.Nachojua ni kwamba membe atarudi ccm baada ya uchaguzi Kama alivofanya lowassa wapinzani wanaonekana Kama sehemu ya majaribio
👍
. Shuhudia kitakacho tokea hatuna vyama vya upinzani Bali tunao waotaka madaraka mtu anahama kisa kakosa fursa hiyo bc anailazimisha imfikie ujinga ,2Ni afadhali hayo mapandikizi yaendelee kuja kwenye upinzani maana wengi wanaokuja nao huwa hawarudi nao.
UKWELI MCHUNGU:
HIVI VYAMA VYA UPINZANI TUNAVYOJISIFU NAVYO LEO TAKRIBAN VYOTE NI MAPANDIKIZI YA CCM