hapana, hajafanya uhaini....tunataka haki, siyo kwa vile alihongwa na magufuli ubalozi ndiyo asingiziwe uhaini. NO, NOT AT ALLNasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana, hajafanya uhaini....tunataka haki, siyo kwa vile alihongwa na magufuli ubalozi ndiyo asingiziwe uhaini. NO, NOT AT ALLNasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda
Muungano umetuletea shida sana.Mtatatafutana tu, bado sana.
Waliopo nyuma ya pazia wote wanajulikana na wote kimyaaa wanaogopa kutia lao lisiwabumburukie.
Hehehe wengine je?Sisi tunawaamini Lissu, Mbowe, Mnyika na wale wapinzani wote wenye akili
Umegeuka kuwa mpinzani![emoji1787]Usitupangie!
Kwa hiyo tumwamini mbowe aliyechukua 4b kwa lowasa ,nyie macdm mi manafiki sanaHi!
Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.
Huyu Dkt. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?
Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?
Dkt. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.
Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda.
Jioni njema.
Waliopewa hela na lowasaSisi tunawaamini Lissu, Mbowe, Mnyika na wale wapinzani wote wenye akili
Macdm nu majinga sana wanamuona aliyeuz chama chawa ni Maliaka aliyesimamia msimo wake eti ni msalite ,tupate basi chama kingine cha upinzani jamani siwapendi hawa maccm na haya machadema na yo hayajielewiAcha upumbavu ww ulitaka amsafishe vp lowasa na walishatuambia kuwa fisadi papa? Slaa alikua sahihi sana na tunamuunga mkonk kwa uzalendo wake kuhusu bandari
Huo Muungano umewaletea shida kivipi?Muungano umetuletea shida sana.
Mazuzu wa CDM hilo hawalioni mbowe aliyempolea lowasa kws vipandae vya fedha ndo mzalendo ,mtu awezi kula matapochi yake kwa tamaaSlaa ni MZALENDO wa Kweli,
Kama ambavyo Kuna wahuni CDM pia wapo wazalendo wengi CCCm chama chenye wahuni wengi.
Mnyika aliamua kukaa kimya, hakudiriki kumsafisha lowassa mbona hatuhumiwi?
Hata ningekuwa mm ningehama.
Mnyika hakuwahi kumsafisha lowass na hakutuhumiwa usaliti.Mazuzu wa CDM hilo hawalioni mbowe aliyempolea lowasa kws vipandae vya fedha ndo mzalendo ,mtu awezi kula matapochi yake kwa tamaa
Ya zamani hayana maana mtazamo wa mtu hubadilika mda wowote.Hi!
Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.
Huyu Dkt. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?
Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?
Dkt. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.
Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda.
Jioni njema.
Mkuu tofauti yake na wale walitwambia Lowassa alikuwa fisadi anafaa kupigwa mawe kwa miaka 10 halafu baadaye wakasema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani ni ipi? Kwanini wao waaminike na yeye asiaminike? si bora yeye alisimamia kile alichokihubiri miaka 10.Hi!
Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.
Huyu Dkt. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?
Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?
Dkt. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.
Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda.
Jioni njema.
Kauli zile ndo ziliwakatisha vijana wengi kujihusisha na siasa, wakahamia mpirani, baani na betting.Mkuu tofauti yake na wale walitwambia Lowassa alikuwa fisadi anafaa kupigwa mawe kwa miaka 10 halafu baadaye wakasema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani ni ipi? Kwanini wao waaminike na yeye asiaminike? si bora yeye alisimamia kile alichokihubiri miaka 10.
Mpaka sasa hawajaona shida. Mfano, kama mliweza kusema lowassa fisadi miaka 10, halafu mkageuka, kwanini leo hii muaminike mkisema mkataba wa DP world ni wa kuuza nchi? Mind you mimi siungi mkataba mkono ila najaribu kumake sense ya hawa vijana wanaomsema Slaa kuwa haaminiki na wengine wanaaminika wanasimamia msingi gani?Kauli zile ndo ziliwakatisha vijana wengi kujihusisha na siasa, wakahamia mpirani, baani na betting.
Nyomi la zamani hamna tena.
TUJISAHIHISHE!!!
Hilo dude la mkataba ni habari ingine,Mpaka sasa hawajaona shida. Mfano, kama mliweza kusema lowassa fisadi miaka 10, halafu mkageuka, kwanini leo hii muaminike mkisema mkataba wa DP world ni wa kuuza nchi? Mind you mimi siungi mkataba mkono ila najaribu kumake sense ya hawa vijana wanaomsema Slaa kuwa haaminiki na wengine wanaaminika wanasimamia msingi gani?
Mimi personally, naona Slaa aliendelea kusimamia alichohubiri.
Slaa ni Mzalendo, vijana waache kumnanga sana. Kwanza kakipigania chama sana kuliko watu wengi ambao walikuja wakaondoka.Hilo dude la mkataba ni habari ingine,
Ndomana Slaa alirudi kupanda jukwaa la CDM karatu na baadae kuwaita mkutano wa dar kushirikiana.
Slaa ni MZALENDO, hata kama anatumikia mhimili uliojichimbia chini.