Wapinzani msimwamini Dkt. Slaa

Wapinzani msimwamini Dkt. Slaa

Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda
hapana, hajafanya uhaini....tunataka haki, siyo kwa vile alihongwa na magufuli ubalozi ndiyo asingiziwe uhaini. NO, NOT AT ALL
 
Slaa ni MZALENDO wa Kweli,

Kama ambavyo Kuna wahuni CDM pia wapo wazalendo wengi CCCm chama chenye wahuni wengi.

Mnyika aliamua kukaa kimya, hakudiriki kumsafisha lowassa mbona hatuhumiwi?

Hata ningekuwa mm ningehama.
 
Hi!

Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.

Huyu Dkt. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?

Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?

Dkt. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.

Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda.

Jioni njema.
Kwa hiyo tumwamini mbowe aliyechukua 4b kwa lowasa ,nyie macdm mi manafiki sana
 
Acha upumbavu ww ulitaka amsafishe vp lowasa na walishatuambia kuwa fisadi papa? Slaa alikua sahihi sana na tunamuunga mkonk kwa uzalendo wake kuhusu bandari
Macdm nu majinga sana wanamuona aliyeuz chama chawa ni Maliaka aliyesimamia msimo wake eti ni msalite ,tupate basi chama kingine cha upinzani jamani siwapendi hawa maccm na haya machadema na yo hayajielewi
 
Slaa ni MZALENDO wa Kweli,

Kama ambavyo Kuna wahuni CDM pia wapo wazalendo wengi CCCm chama chenye wahuni wengi.

Mnyika aliamua kukaa kimya, hakudiriki kumsafisha lowassa mbona hatuhumiwi?

Hata ningekuwa mm ningehama.
Mazuzu wa CDM hilo hawalioni mbowe aliyempolea lowasa kws vipandae vya fedha ndo mzalendo ,mtu awezi kula matapochi yake kwa tamaa
 
Wanasiasa wa TZ wengi ni waangalia matumbo hamna hata mmoja anae hubiri uzalendo na ndio mana sasa hv slaa anaangaliwa wapi alikosea na hamuangaliii kama anachofanyiwa n sawa au si sawa.

mmekaa ki visasi visasi kimalipizi malipizi yani mnautaka uongozi ili mkomeshane muonyeshane mabavu.

ila hamna hata mmoja ambae anahuburi uzalendo. ndio mana n rahisi kuangalia ya nyuma kuliko yaliopo sasa.

Sio mbaya ndio Siasa za Tanzania.
 
Mazuzu wa CDM hilo hawalioni mbowe aliyempolea lowasa kws vipandae vya fedha ndo mzalendo ,mtu awezi kula matapochi yake kwa tamaa
Mnyika hakuwahi kumsafisha lowass na hakutuhumiwa usaliti.

Tuache Double standards, Ndimi mbili tumwachie swila!!

Ndio yetu iwe NDIO, SIO yetu iwe DIO!!
 
Hi!

Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.

Huyu Dkt. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?

Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?

Dkt. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.

Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda.

Jioni njema.
Ya zamani hayana maana mtazamo wa mtu hubadilika mda wowote.
 
Hi!

Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.

Huyu Dkt. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?

Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?

Dkt. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.

Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda.

Jioni njema.
Mkuu tofauti yake na wale walitwambia Lowassa alikuwa fisadi anafaa kupigwa mawe kwa miaka 10 halafu baadaye wakasema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani ni ipi? Kwanini wao waaminike na yeye asiaminike? si bora yeye alisimamia kile alichokihubiri miaka 10.
 
Kauli zile ndo ziliwakatisha vijana wengi kujihusisha na siasa, wakahamia mpirani, baani na betting.

Nyomi la zamani hamna tena.

TUJISAHIHISHE!!!
 
Mpaka sasa hawajaona shida. Mfano, kama mliweza kusema lowassa fisadi miaka 10, halafu mkageuka, kwanini leo hii muaminike mkisema mkataba wa DP world ni wa kuuza nchi? Mind you mimi siungi mkataba mkono ila najaribu kumake sense ya hawa vijana wanaomsema Slaa kuwa haaminiki na wengine wanaaminika wanasimamia msingi gani?
Mimi personally, naona Slaa aliendelea kusimamia alichohubiri.
 
Hilo dude la mkataba ni habari ingine,

Ndomana Slaa alirudi kupanda jukwaa la CDM karatu na baadae kuwaita mkutano wa dar kushirikiana.

Slaa ni MZALENDO, hata kama anatumikia mhimili uliojichimbia chini.
 
Slaa ni Mzalendo, vijana waache kumnanga sana. Kwanza kakipigania chama sana kuliko watu wengi ambao walikuja wakaondoka.
 
Back
Top Bottom