Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Katiba ni sheria mama iliyozaa sheria ya vyama vya siasa.Katiba ya nchi haizungumzii lolote kuhusu ilani za uchaguzi za vyama
Za serikali iliyopo madarakaniKwenye hizi ziara anatumia pesa za chama au za serikali ?
Hata sheria ya vyama vya siasa haina matakwa ya vyama kuwa na ilani za uchaguzi.Katiba ni sheria mama iliyozaa sheria ya vyama vya siasa.
Sheria zote zinatokana na katiba ya JMTHata sheria ya vyama vya siasa haina matakwa ya vyama kuwa na ilani za uchaguzi.
πMIMI NATAKA MAMA SAMIA AWE MALIKIA WA NCHI MILELE
Kesho ana mkutano Morogoro, wanafunzi wa sekondari wanasema wameambiwa waende shule na nguo za nyumbani kwenye mifuko, asubuhi watakuwa madarasani na uniform, mchana watabadili nguo na kuvaa za nyumbani ili wakajaze uwanja atakakohutubia, hili halijawahi kutokea huko nyuma kwanini sasaNi msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi...
Non senseKesho ana mkutano Morogoro, wanafunzi wa sekondari wanasema wameambiwa waende shule na nguo za nyumbani kwenye mifuko, asubuhi watakuwa madarasani na uniform, mchana watabadili nguo na kuvaa za nyumbani ili wakajaze uwanja atakakohutubia, hili halijawahi kutokea huko nyuma kwanini sasa
Ili uendelee kula kwa urefu wa kamba yako siyo!!MIMI NATAKA MAMA SAMIA AWE MALIKIA WA NCHI MILELE
Shida ni kwamba binadamu hawezi kuishi mileleMIMI NATAKA MAMA SAMIA AWE MALIKIA WA NCHI MILELE
Zile ni kampeni tu hakuna lingine. Shida bado uchaguzi ikifika hawajiamini wanazima mitandao na kuharibu uchaguzi. Kwakweli CCM ni shida.Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia nini? Asifanye ziara kungalia miradi inayotekelezwa na chama chake?
Bahati nzuri anagusa kila kona. Miundo mbinu, kilimo Afya na hata utamaduni.
Sasa mkiona nyomi kwenye ziara zake mnalalama kama walevi wa chimpumu.
Naona chawa wamezinduka sana kuelelea msimu wa kuwambembeleza wa pika kula.Katiba ya nchi haizungumzii lolote kuhusu ilani za uchaguzi za vyama
Kimsingi wanaweweseka maana kwenye mikutano Yao kutwa kucha kusema ccm iwekwe pembeni ila sijawahi sikia viongozi wa CCM wakisema wanafanya kampeni.Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia nini? Asifanye ziara kungalia miradi inayotekelezwa na chama chake?
Bahati nzuri anagusa kila kona. Miundo mbinu, kilimo Afya na hata utamaduni.
Sasa mkiona nyomi kwenye ziara zake mnalalama kama walevi wa chimpumu.
Haitaji kuwa na D mbili tu kuelewa hili kwa ufupi CCm wote wanafanya kampeni na hawakuanza jana wala juziNi msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.