Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia nini? Asifanye ziara kungalia miradi inayotekelezwa na chama chake?
Bahati nzuri anagusa kila kona. Miundo mbinu, kilimo Afya na hata utamaduni.
Sasa mkiona nyomi kwenye ziara zake mnalalama kama walevi wa chimpumu.