Pre GE2025 Wapinzani msipotoshe umma wa Watanzania. Rais Samia hafanyi kampeni kwenye ziara zake bali anakagua utekelezaji wa ilani ya CCM.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Niletee Kabudi 2025, bado unasema sio kampeni
 
Ni kampeni kabisa. Mfano kesho anatembea na wasanii. Kesho diamond platnumz anashusha shoo morogoro. Hilo nyomi lazima liwe kubwa 🤣
 
Hawaelewi ndio maana wanalalamika. Huyo ni Rais hadi 2025. Ana haki ya kufanya kazi na kuzunguka nchi nzima kuhakikisha Serikali yake inatimiza majukumu yake hadi 2025!
 
Swala siyo nyomi. Pikipiki za SSH2025 zinamaanisha nn? Au walikosea kuandika mwaka! Unataka ujibiwe vibaya halafu ukasirike!
 
Au na wewe ni katibu wa vijana wa CCM kata umepewa Pikipiki.
 
Anapowaambia watu wamletee wanasisiemu kwaajili ya maendeleo na kuchagua kwengine nikukataa maendeleo anamaanisha nini?Mnatuona Wajinga kabisa qmmk mnatetea upumbavu hiyo ni principle ya wapi ukiwa kiongozi bila watu wa chama chako uwanyime maendeleo basi usichujue na kodi zao kila mtu ashinde mechi zake tuone.
 

Attachments

  • pya5ez.jpg
    93.5 KB · Views: 0
Anafanya kampeni! Katika ziara zake anawaambia wananchi, Chagueni maendeleo,msiwachague hao.
Alianza muda kutoa Pikipiki,magari,nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…