Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hata D moja hana, na angekuwa nazo D2 tungekomaa.Haitaji kuwa na D mbili tu kuelewa hili kwa ufupi CCm wote wanafanya kampeni na hawakuanza jana wala juzi
Hawaelewi ndio maana wanalalamika. Huyo ni Rais hadi 2025. Ana haki ya kufanya kazi na kuzunguka nchi nzima kuhakikisha Serikali yake inatimiza majukumu yake hadi 2025!Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia nini? Asifanye ziara kungalia miradi inayotekelezwa na chama chake?
Bahati nzuri anagusa kila kona. Miundo mbinu, kilimo Afya na hata utamaduni.
Sasa mkiona nyomi kwenye ziara zake mnalalama kama walevi wa chimpumu.
Swala siyo nyomi. Pikipiki za SSH2025 zinamaanisha nn? Au walikosea kuandika mwaka! Unataka ujibiwe vibaya halafu ukasirike!Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia nini? Asifanye ziara kungalia miradi inayotekelezwa na chama chake?
Bahati nzuri anagusa kila kona. Miundo mbinu, kilimo Afya na hata utamaduni.
Sasa mkiona nyomi kwenye ziara zake mnalalama kama walevi wa chimpumu.
Au na wewe ni katibu wa vijana wa CCM kata umepewa Pikipiki.Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.