Wapinzani mtuchambulie uongo wote kabla ya uchaguzi

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
GTs,

Kuelekea 2020 sisi wapiga kura wa taifa huru la Tanzania tunawahimiza wapinzani mjitokeze mmoja baada ya mwingine mtuombe msamaha mambo yote mliyowahi kutudanganya. Moja ya vitu mlivyowahi kusema:

1. JK ni dhaifu?
2. Wizi wa 1.5 trioni?
3. Hela za Uswiss?
4.
 
Reactions: Ole
Ningependa kuwaambia kisa flani cha kwenye bible Jamaa wanaojiandaa kwenda ku-party hio J2 kusherekea 'kumalizika' kwa Corona:

Baada ghalika kuisha Nuhu akaona amtume Njiwa nje ya Safina ili kuona vipi hali ikoje huko nje,maji yameisha au la ili aone kama anaweza kutoka kwny safina au la.

Sasa wajiulize kwa mazingira tuliyonayo Njiwa anaweza kua nani?
 
Siku hizi sisikii wakisema dikteta uchwara
 
Sasa Kwanini mligonga lissu Kwasababu eti amekuwa maarufu kuliko Mbowe
Siku hizi tunasemaga Petty Dictator ili kuepusha kupigwa risasi 16 mchana kweupe huku Ndugai akicheka kwa furaha

Pia mlengwa hajui ki inglish vilevile
 
5.Madai kwamba tutashitakiwa na MIGA
6.Kujaribu kuzuia mkopo wa elimu
7.Kubeza na kupinga ununuzi wa ndege
8.Kubeza na kupinga ujenzi wa SGR
9.Kuwatukana matusi wote waliokuwa wanachama Chadema kuhamia vyama vingine
 
Kwa kweli waseme tu. Maana wameanza kujidhihirisha wenyewe kuwa ni waongo
CC@ Msigwa.
 
Jamii forum kuna haja ya kuanza vipimo vya akili kwa members, kuwe pia na ka utaratibu ka kujaza form tu attach na vyeti vya kitaaluma kuna watu wanatakiwa wabaki kuleeeeee JF SOCIAL FORUM huku juu kuwe na vigezo..wapuuzi ni wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JK hakuwa dhaifu, ila hakutumia nguvu alizopewa kikatiba.

Nafikiri wengi wameona umuhimu wa katiba mpya. Raisi ana nguvu sana kiasi kwamba anakuwa kama saint flani hivi.

Nafikiri kama kungekuwa na kipengele cha kumwajibisha au kumshaki, labda ingesaidia kufanya majukumu yake vizuri.

Kwa katiba hii Tanzania kuvuka kwenda awamu pili (Uchumi wa kati) ni ndoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…