Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki Maridhiano anataka Maandamano!
Strong actions ni pamoja na Maandamano bwashee
Ndio unaona Mchungaji wa Iringa yuko Kenya kujifunza!
Ukizungumzia wapinzani unawazungumzia hawa walio nyuma ya keyboard huku JF?
Basi kama ni hivyo naona unakosea, mimi nadhani wapinzani ni viongozi wao wa vyama vya siasa, ambao wao sijui wanasemaje..
kweri kweri=kweli kweli....Watanzania aliyeturoga alitupata kweri kweri!
Kwa mawazo yako ni kuwa nimetereza?kweri kweri=kweli kweli.
Ukivuliwa nguo chutama.🤣Kwa mawazo yako ni kuwa nimetereza?
Kazi kweri kweri ni nukuu pendwa tokea kwake Jembe lako JPM, mwamba wa Chattle!
Kwa mawazo yako ni kuwa nimetereza?
Kazi kweri kweri ni nukuu pendwa tokea kwake Jembe lako JPM, mwamba wa Chattle!
Mpashe huyo nguchiro
Ukivuliwa nguo chutama.🤣
nimetereza=nimeteleza.
Utingo wa kisasa....hata wewe na kusoma kwako bado ni utingo wa mwajiri wako. usingekuwa utingo kama ungekuwa unafanya kazi zako binafsi au umeajiri watu