Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

CHADEMA kila leo wanamuongelea Magufuli na kutukana Wasukuma ndo unategemea kanda ya ziwa wanapata kura! Hawa vijana ni mataahira wasiojitambua! Kila leo matusi ukifika uchaguzi mnataka wanakanda ya ziwa wawapigie kura! Viongozi wao hawawaelezi ukweli!
CHADEMA moja ya agenda zake ni kutukana na kudhoofisha Wasukuma wameeenda mbali mpaka kuitengeneza Msukuma feki Bw Mnyika
 
Mimi ni wa Kanda ya Ziwa, na siamini katika Ukabila wala Ukanda.
Siamini kuwa SGR kwenda Mwanza badala ya Kigoma kuna manufaa kwa watoto wangu na wajukuu wangu.
Naamini katika haki.
Naamini katika Demokrasia.
Naamini katika usawa.
Ninaamini kuwa Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Ndiyo sababu naamini kuwa SGR kwenda Kigoma kusafirisha mizigo ya Kongo, DRC, kuna tija zaidi kwa kizazi changu kuliko kwenda Kanda ya Ziwa kwa lengo la kubeba mizigo ya Rwanda na Uganda ambayo baadaye inaelekea huko huko DRC kuchochea machafuko
Kila la heri
 
Hahhahhhaaa
Nimecheka kwa dharau sana.
hapo ndio mtajua hamjui
Yaani baada ya kumtusi mwendazake na kila aliyemuunga mkono halafu mkawapa majina ya ajabu sijui SUKUMAGANG leo mnajipanga kwenda kwenye ngome yao kuwaomba kura
Jipangeni sana lakini naamini mtajisaidia mlipojenga choo na si vinginevyo

CCM na wafuasi wao wamejizuia na kumstiri Maalim Seif pamoja na kuandamwa na kashfa za ubasha sijui ushoga na mengine mengi lakini waliheshimu umauti wake...
Nyie mpaka leo mnasumbuka na marehem halafu eti mnataka kwenda kwa ndugu zake wale sukuma gang.
NJOONI MTAAMBULIA 10%
Tunawasubiri waje wavune walichopanda
 
Kwanza kabla hamjaja Kanda ya Ziwa tutamtaka Lissu na Mbowe watuambie kwa nn walufanya sherehe baada ya kusikia Magufuli kafariki.
Mmoja alipigwa risasi 16 akaponea chupuchupu kuliona kaburi, Mwingine yuko magereza kwa michongo iliyoanza 2020.
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Upinzani wa kweli utatoka CCM, kama una jichomla kuona mbali, viongoz wanaopigwa vikumbo na serikal ya Samia weng n kutoka kanda ya ziwa na kule ndo iliko kura ta turufu kumpa mtu ushindi wa Urais, ni suala la muda tu Tz inaeenda kuisahau CCM kama wanasiasa watazchanga vzuri karata zao kanda ya ziwa.
 
CHADEMA kila leo wanamuongelea Magufuli na kutukana Wasukuma ndo unategemea kanda ya ziwa wanapata kura! Hawa vijana ni mataahira wasiojitambua! Kila leo matusi ukifika uchaguzi mnataka wanakanda ya ziwa wawapigie kura! Viongozi wao hawawaelezi ukweli!
CHADEMA hawajawahi kumsema vibaya kama Antony Diallo!
 
CHADEMA Ukiwa Msukuma lazima ufanyiwe Kila fitina ukicheza unauwawa.

Note Wasukuma waliowahi kuwepo Kamati kuu.

1. Nyangaki KAHEZA Shilungushela. Kidogo auwawe ikabidi ahame Chama. Huyu alikua mwenyekiti wa Baraza la Wazee Hadi 2014

2. Vincent Bilageya Mashinji alikua karibu mkuu Mbowe akaanzisha timu ya kumuhujumu. Mwisho akadhalilishwa kuzomewa katika mkutano mkuu mlimani City 2019.

3. Mzee Sylvester Muhoja Kasulumbayi Mb Maswa Mashariki. Huyu alifutwa vyeo vyake ndani ya Chama asipate umaarufu. Alikua mjumbe wa Kamati kuu na mwenyekiti wa Kanda.

4. Mzee John Magare Shibuda Mbunge wa Maswa Magh. Huyu alizushiwa Kila uhuni na henge la Mbowe mwisho akafutwa uanachama

Baada ya kuhujumu Wasukuma wa kweli CHADEMA imeenza kuitengeneza Wasukuma feki.

1. John Mnyika huyu ni mpare wa Ugweno anajiita Msukuma kwa kua baba yake wa kambo Mzee Dalali alikua Msukuma.

2. John Pambambalu huyu ni Mfipa muhamiaji wa Jijini Mwanza Hana mapenzi Wala asili na usukuma. CHADEMA imeng'ang'ana kumatangaza kuwa ni Msukuma.

Mwisho.

Wazee wakisukuma tunawafuatilia kwa karibu period
 
Hujui lolote Sekritariate ya CHADEMA ni pure Chaga. Mrema, Mushi, Munisi na nk ndo waandamizi hapo
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Ni Kweli kabisa kanda ya ziwa hawaelew kitu mpaka leo,Upinzani nenden mkajiimalishe huko mtakuja kutuambia.
 
Unashauri wapinzani wawekeze kanda ya ziwa badala ya kumshauri mwenyekiti wenu wa CCM aache kuhamasisha ufisadi kwenye serikali yake tena kupitia TV ya Taifa?
 
CHADEMA Ukiwa Msukuma lazima ufanyiwe Kila fitina ukicheza unauwawa.

Note Wasukuma waliowahi kuwepo Kamati kuu.

1. Nyangaki KAHEZA Shilungushela. Kidogo auwawe ikabidi ahame Chama. Huyu alikua mwenyekiti wa Baraza la Wazee Hadi 2014

2. Vincent Bilageya Mashinji alikua karibu mkuu Mbowe akaanzisha timu ya kumuhujumu. Mwisho akadhalilishwa kuzomewa katika mkutano mkuu mlimani City 2019.

3. Mzee Sylvester Muhoja Kasulumbayi Mb Maswa Mashariki. Huyu alifutwa vyeo vyake ndani ya Chama asipate umaarufu. Alikua mjumbe wa Kamati kuu na mwenyekiti wa Kanda.

4. Mzee John Magare Shibuda Mbunge wa Maswa Magh. Huyu alizushiwa Kila uhuni na henge la Mbowe mwisho akafutwa uanachama

Baada ya kuhujumu Wasukuma wa kweli CHADEMA imeenza kuitengeneza Wasukuma feki.

1. John Mnyika huyu ni mpare wa Ugweno anajiita Msukuma kwa kua baba yake wa kambo Mzee Dalali alikua Msukuma.

2. John Pambambalu huyu ni Mfipa muhamiaji wa Jijini Mwanza Hana mapenzi Wala asili na usukuma. CHADEMA imeng'ang'ana kumatangaza kuwa ni Msukuma.

Mwisho.

Wazee wakisukuma tunawafuatilia kwa karibu period
@Yoda jibu kwanza hapa.
 
Back
Top Bottom