Mie na wewe tunaheshimiana fika na hili unalijua. Nitaanzaje kukudanganya mkataba utaisha siku za karibuni kama kwako kibarua kipo fanya mambo.Daby acha hizo
Unanipiga bonge la fiksi
Nakushauri u log out. Huyu Daby atakutongoza muda si mrefu.Daby acha hizo
Unanipiga bonge la fiksi
Mungu ibariki Forex, imetubadilishia akili za madogo...Nimeona afadhali zile uzi za kama akina Gdume zimepungua siku hizi. Eeeeh za wengi wao kutunga tunga wakiwa alosto.
Aisee kumbe walikua wanatuficha?Acha uongo mkuu,,,Dar Forex Academy ilikuwepo ila chinichini,mimi nimefanyiwa mentoring bure kabisa baada ya kumtafuta Carl kipindi hicho,ila wameanza semina baada ya TMT kuanza,,na kupunguza being ni suala la kibiashara,,,,
Nilimwambia utamtongoza muda si mrefu akanibishia...Mie na wewe tunaheshimiana fika na hili unalijua. Nitaanzaje kukudanganya mkataba utaisha siku za karibuni kama kwako kibarua kipo fanya mambo.
Mkuu naona unatanguliza tahadhari, unaogopa kuliwa kichwaMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Kati ya mambo yatakayotugombanisha ni hili la kunikosesha fursa.Nilimwambia utamtongoza muda si mrefu akanibishia...
Nadhani kwa post hii cocochanel atakuwa amenielewa sasa...
Hapana... hili si la kushindwa.Kati ya mambo yatakayotugombanisha ni hili na kunikosesha fursa.
Forex itushinde hadi hili.
Inayo maana nakumbuka kuna dada tulisoma nae muda wa kwenda kujisomea alikuwa anaenda maporini kunena kwa lugha at the end alidisco na wanenaji wenzake sisi tulipetaBiashara pekee ambayo haina loss ni "wokovu"...lol
Copied afande.Hapana... hili si la kushindwa.
Kesho asubuhi kabla misa ya kwanza haijaanza nahitaji file lake ofisini.
Nahakikisha hawa jamaa wa Forex kesho wote wanafika kanisani ili kuleta sadaka ghalani mwa bwana.Copied afande.
Nawe hakiki hesabu ya sadaka mara saba sabini na saba kabla jogoo hajawika kutuamsha wanaforex.
[emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka maiti mochwari nzima zimesisimka.. Hata zilizokuwa zimenuna zimetabasamu loh..Mkuu naomba unigawie kandumba kidogo nami nimfaidi huyu mdudu Forex.
Inaelekea ni mtamu kuliko K.
Vp umeona kibamia cha rafiki yako LE MUTUZHalafu naonaa hao
Mida hii ndio mizuri nyumba ipo kimya na hivi leo nipo ndani tu.. basi ndio nondo za nayofanya zinashuka vizuri na mie kuingiza kwenye ubongo vizuri. Huku nasikiliza love songs kujikoki na kwa TV naangalia documentary..
Halafu na wewe vipeeee upo macho mida hii?
Coco nimekuhamu [emoji85]Daby acha hizo
Unanipiga bonge la fiksi
Na watoe fungu la kumi na vipawa vya bwana viteketezwe.Nahakikisha hawa jamaa wa Forex kesho wote wanafika kanisani ili kuleta sadaka ghalani mwa bwana.
Tahadhari ni bora kuliko tibaMkuu naona unatanguliza tahadhari, unaogopa kuliwa kichwa
Nimestuka mpaka kaGrants kangu kamemwagika. Hao viumbe uwe unawachekea mchana bhana. Ona sasa umenilazimisha niongeze chupa nyingine ...[emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka maiti mochwari nzima zimesisimka.. Hata zilizokuwa zimenuna zimetabasamu loh..