Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Acha uongo mkuu,,,Dar Forex Academy ilikuwepo ila chinichini,mimi nimefanyiwa mentoring bure kabisa baada ya kumtafuta Carl kipindi hicho,ila wameanza semina baada ya TMT kuanza,,na kupunguza being ni suala la kibiashara,,,,
Aisee kumbe walikua wanatuficha?

Kama sio akina ontario wala nisingejua kama kuna forex hapa duniani!!
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Mkuu naona unatanguliza tahadhari, unaogopa kuliwa kichwa
 
Hapana... hili si la kushindwa.

Kesho asubuhi kabla misa ya kwanza haijaanza nahitaji file lake ofisini.
Copied afande.

Nawe hakiki hesabu ya sadaka mara saba sabini na saba kabla jogoo hajawika kutuamsha wanaforex.
 
Halafu naonaa hao


Mida hii ndio mizuri nyumba ipo kimya na hivi leo nipo ndani tu.. basi ndio nondo za nayofanya zinashuka vizuri na mie kuingiza kwenye ubongo vizuri. Huku nasikiliza love songs kujikoki na kwa TV naangalia documentary..

Halafu na wewe vipeeee upo macho mida hii?
Vp umeona kibamia cha rafiki yako LE MUTUZ
 
Na watoe fungu la kumi na vipawa vya bwana viteketezwe.
Daby upoje na Coco [emoji35] [emoji35] [emoji35]
9b5d982ffc9e7e38b7b4925476d114f9--plague-doctor-black-death.jpg
 
Back
Top Bottom