Upo vizuri kutetea kitumbua.
Nakushauri u log out. Huyu Daby atakutongoza muda si mrefu.
Na ukae ukijua huyu jamaa ana kizizi, akitongoza hakataliwi...
BTW ushafanya lolote kwa ajili ya kutajirika na Forex au wewe hupendi kumiliki helicopter???
Mungu ibariki Forex, imetubadilishia akili za madogo...
Kwa mtindo huu, lazima tutaanzisha darasa la Forex pale Msata. Ikifikia hapo naomba uniite fastaMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Kitumbua gani?Upo vizuri kutetea kitumbua.
Nilimwambia utamtongoza muda si mrefu akanibishia...
Nadhani kwa post hii cocochanel atakuwa amenielewa sasa...
[emoji3] pouwaKwa mtindo huu, lazima tutaanzisha darasa la Forex pale Msata. Ikifikia hapo naomba uniite fasta
Kwa kifupi ni kuwa bado hujalala mpaka mida hii...Ha ha haaaaa
Nimekuelewa.. shukurani kwa kunishtua.
Nishakujibu zaidi ya mara tatu naona huelewi!!Double IDs;
Hivi wewe ONTARIO, ni kwanini unatumia ID mbili?
Kwani ukitumia id ya ontario pekee kuna shida gani hadi uje na hii ya Upepo wa Pesa?
Kwa hili, ninaamini wewe si mtu mwema na katapeli fulani hivi, maana ni kwanini ujifiche????
Kama siku hizi nimeanza kuandika na kupangilia mada na hoja kama otario basi ni dalili nzuri sana kwangu!!Huyo ni ONTARIO ndiye anatetea kwa ID ya Upepo wa Pesa.
Sijui anajificha nini.
Ukitaka kujua ni yeye fuatilia aina ya uandishi kati ya ids za ONTARIO na Upepo wa Pesa
Vp umeona kibamia cha rafiki yako LE MUTUZ
Coco nimekuhamu [emoji85]
Hii ni vita ya kibiashara mkuu, fwatilia kilichowakuta samsung mwaka jana kama sikosei, simu zimetengenezwa zote mbovu!!Kumbe ndiyomaana wanashinda hapa kumtukana ONTARIO
Umeshasahau tena!? Loh...! NimekumissSasa Mshana maana yake hiyo ni nini!?
Daby upoje na Coco [emoji35] [emoji35] [emoji35] View attachment 674978
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121]Mshana hacha kutaka kutuchawia usiku huu.. eeeeeeh
Picha hiyo mbona inatisha hivyo..
Hata kuangalia nimeshindwa.. IJN
Eeeeh
Kwa kifupi ni kuwa bado hujalala mpaka mida hii...
Mzee kasafiri au?Ndio nipo macho..
Umeshasahau tena!? Loh...! Nimekumiss