Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Nakushauri u log out. Huyu Daby atakutongoza muda si mrefu.

Na ukae ukijua huyu jamaa ana kizizi, akitongoza hakataliwi...

BTW ushafanya lolote kwa ajili ya kutajirika na Forex au wewe hupendi kumiliki helicopter???

Ha ha haaaaa
Usiniambie.. hawezi kunijaribu bibi kizee mimi jamani

Eeeeh Forex hiyo nasubiri mtu atufundishe bure humu arushe nondo.. bure bure.. anisha basi uzi tujifunze.
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Kwa mtindo huu, lazima tutaanzisha darasa la Forex pale Msata. Ikifikia hapo naomba uniite fasta
 
Double IDs;

Hivi wewe ONTARIO, ni kwanini unatumia ID mbili?

Kwani ukitumia id ya ontario pekee kuna shida gani hadi uje na hii ya Upepo wa Pesa?

Kwa hili, ninaamini wewe si mtu mwema na katapeli fulani hivi, maana ni kwanini ujifiche????
Nishakujibu zaidi ya mara tatu naona huelewi!!

Mimi ni "Upepo wa pesa" na sina uhusiano wowote na tmt wala ontario!!

Kama una hoja ingine leta achana na hoja za kitoto!!
 
Huyo ni ONTARIO ndiye anatetea kwa ID ya Upepo wa Pesa.

Sijui anajificha nini.


Ukitaka kujua ni yeye fuatilia aina ya uandishi kati ya ids za ONTARIO na Upepo wa Pesa
Kama siku hizi nimeanza kuandika na kupangilia mada na hoja kama otario basi ni dalili nzuri sana kwangu!!

Nakushauri na wewe ungana nami mwaka huu uanze kusoma vitabu wenda ukaboresha hata akili achilia mbali uandishi wako!!
 
Mshana hacha kutaka kutuchawia usiku huu.. eeeeeeh

Picha hiyo mbona inatisha hivyo..

Hata kuangalia nimeshindwa.. IJN
Eeeeh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121]
Mtumaini Kristo
 
Back
Top Bottom