TamanifuLol
Kiswahili kigumu jamani.. ila neno hamu maana yake ni nini!?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121]
Mtumaini Kristo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi Bwana Yesu awe nawe.. Malaika mlinzi azingire kitanda chako kwa damu takatifu ya Yesu Kristo... AaamenUnajua ndivyo inakuwa ila wewe acha uchokozi..
Eeeeh
Bora hata ungeweka ya kumwambia Daby aangalie picha hiyo kesho anitumie vocha ya laki 5 akishaniomba namba.. sio unamwambia aangalie halafu anaaga anaenda kulala jamani..
Mwingine yumo humu uje umtafutie picha aangalie nae.. bishoo mmoja Chuma huyo na anisake hata kupaa aje.. kunipeleka Salon anipeleke kabisa kwa gari yake ile ya TZ 11.. eeeeh ninalo kwa kumtania atajisoma akiiona post hii.
Mzee kasafiri au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi Bwana Yesu awe nawe.. Malaika mlinzi azingire kitanda chako kwa damu takatifu ya Yesu Kristo... Aaamen
Tusirudi kule hakutufaiAmina
Mshana aiseeeee.. hii 2018 ni kweli unazidi kubadilika.. maana hata zile mada unazikaushiaaa haswa.
Ila ungekuwa wewe wananchi wanakutumia malalamiko na sio kwa yule mwanamke tu..
Malalamiko tuliyazoea humu.. ila naona watu uzi kufutwa futwa watu wamesepaaa.. no uhondo kama zamani.
Tusirudi kule hakutufai
K yaaani nn?Mkuu naomba unigawie kandumba kidogo nami nimfaidi huyu mdudu Forex.
Inaelekea ni mtamu kuliko K.
Sasa hivi natamani sana kumtumikia Kristo... Nime invest muda mwingi sana nikifundisha na kuwafunulia watu ya ulimwengu wa giza.. Najivunia nimewasaidia na kuwaokoa wengi... Natamani ku trade na Kristo sasa sio na forex.. Natamani kuwa mhubiri (Mungu unisaidie) [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji819]Eeeeeh eti tusirudi.. ka vile tuliingia wote.. wewe una maneno Mshana eeeeh.. haya sitakuuliza tema basi juu ya hayo haswa kuku mention nikiona mada.
Ila unajua imejengea wengi imani.
Basi yale ya kama chumvi etc kutoka kwa biblia uwe unarusha rusha.
KiaziK yaaani nn?
hv hii biashara ikoje mbona sielew kama unakielemu kidogo naomba unimegee maana sielew nikama nipo gizanMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Sasa hivi natamani sana kumtumikia Kristo... Nime invest muda mwingi sana nikifundisha na kuwafunulia watu ya ulimwengu wa giza.. Najivunia nimewasaidia na kuwaokoa wengi... Natamani ku trade na Kristo sasa sio na forex.. Natamani kuwa mhubiri (Mungu unisaidie) [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji819]
Sikushauri mpaka hili sakata lifike mwisho kisha uchukue maamuzi binafsihv hii biashara ikoje mbona sielew kama unakielemu kidogo naomba unimegee maana sielew nikama nipo gizan
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amina
Na itakuja kupita
Ndumba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Unapoingia kwenye biashara kama hizi lazima kutumia nyenzo zoteNdumba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]