Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121]
Mtumaini Kristo

Unajua ndivyo inakuwa ila wewe acha uchokozi..

Eeeeh
Bora hata ungeweka ya kumwambia Daby aangalie picha hiyo kesho anitumie vocha ya laki 5 akishaniomba namba.. sio unamwambia aangalie halafu anaaga anaenda kulala jamani..

Mwingine yumo humu uje umtafutie picha aangalie nae.. bishoo mmoja Chuma huyo na anisake hata kupaa aje.. kunipeleka Salon anipeleke kabisa kwa gari yake ile ya TZ 11.. eeeeh ninalo kwa kumtania atajisoma akiiona post hii.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi Bwana Yesu awe nawe.. Malaika mlinzi azingire kitanda chako kwa damu takatifu ya Yesu Kristo... Aaamen
 
Amina

Mshana aiseeeee.. hii 2018 ni kweli unazidi kubadilika.. maana hata zile mada unazikaushiaaa haswa.

Ila ungekuwa wewe wananchi wanakutumia malalamiko na sio kwa yule mwanamke tu..

Malalamiko tuliyazoea humu.. ila naona watu uzi kufutwa futwa watu wamesepaaa.. no uhondo kama zamani.
 
Tusirudi kule hakutufai
 
Tusirudi kule hakutufai

Eeeeeh eti tusirudi.. ka vile tuliingia wote.. wewe una maneno Mshana eeeeh.. haya sitakuuliza tema basi juu ya hayo haswa kuku mention nikiona mada.

Ila unajua imejengea wengi imani.
Basi yale ya kama chumvi etc kutoka kwa biblia uwe unarusha rusha.
 
Sasa hivi natamani sana kumtumikia Kristo... Nime invest muda mwingi sana nikifundisha na kuwafunulia watu ya ulimwengu wa giza.. Najivunia nimewasaidia na kuwaokoa wengi... Natamani ku trade na Kristo sasa sio na forex.. Natamani kuwa mhubiri (Mungu unisaidie) [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji819]
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
hv hii biashara ikoje mbona sielew kama unakielemu kidogo naomba unimegee maana sielew nikama nipo gizan
 
Sasa hivi natamani sana kumtumikia Kristo... Nime invest muda mwingi sana nikifundisha na kuwafunulia watu ya ulimwengu wa giza.. Najivunia nimewasaidia na kuwaokoa wengi... Natamani ku trade na Kristo sasa sio na forex.. Natamani kuwa mhubiri (Mungu unisaidie) [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji819]

WOW

Amina
Na itakuja kupita katika jina la Yesu Kristo.
 
Kweli nilikuwa na mpango wa kuingia evening Class, ila wacha nisikie mutu kununua Maserati kwanza kwa pesa za fx, Then I will join the game. . Mshana utanigawia ka ndumba kiasi nikazie
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Ndumba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Back
Top Bottom