[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka maiti mochwari nzima zimesisimka.. Hata zilizokuwa zimenuna zimetabasamu loh..
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mkuu naomba unigawie kandumba kidogo nami nimfaidi huyu mdudu Forex.
Inaelekea ni mtamu kuliko K.
Wewe tumia ndumba, maneno tuachie sisi kumnyakua huyu cocoCoco nimekuhamu [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwi kwi kwi kwi LoL! Unapiga zako bonge la hirizi kama la nanihii kitu loss tupa kuleee weye mwendo wa profit tu kila kukicha.
Unauhakika wa [emoji196] [emoji196] [emoji196]??Dada nakutaka,hapo kifuani siyo haba!!
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3]sitaki mashindano kama ku trade ila ndumba haijawahi shindwa rafikiWewe tumia ndumba, maneno tuachie sisi kumnyakua huyu coco
Basi sisi tumshindanie huyu bibie maana forex ina wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3]sitaki mashindano kama ku trade ila ndumba haijawahi shindwa rafiki
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121]Basi sisi tumshindanie huyu bibie maana forex ina wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikutumie link ya video ukachek?Jiheshimu
Hayo mambo usifikiri ni ya kuandikia kila mtu humu. Pita hukoooo
Nikutumie link ya video ukachek?
Sawa utamsalimiaHapana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Wewe tumia ndumba, maneno tuachie sisi kumnyakua huyu coco
Naogopa kufaMshana hulali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], jinsi ulivyotoa hili jibu umenikumbusha mbali kidogo.Naogopa kufa
Arusha mnakuja lini bhanaView attachment 674680 View attachment 674681 View attachment 674682 View attachment 674683 ONYO: siko hapa kugombanisha, kufarakanisha
Hawa Jamaa "Dar Forex Academy" walikuwa wanatoza Kilo 5, (500,000/=) kwa kichwa kimoja, yaani zile "buku buku ziwe mia tano"! Nakumbuka kabla ya ujio wa TMT nilipata kuweka nia ya kujiingiza kwenye hii biashara, ile baada ya kuona training fee ya hawa jamaa ilibidi nijiaminishe kuwa Forex is not for me...Kutokana na kauwezo kangu ka uchumu. Nilikuwa nawaza tu jinsi ya kupata hata hiyo kilo 1 ya kueposit kama mtaji wangu ( Ingawa uwezo wa kuipata nilikuwa nao).. ila nilipogundua kuwa seminar ni kilo 5 ikanibidi niendelee na matarajio mengineyo
View attachment 674681
Inaonekana habari za TMT zimewafikia na wakatambua kuwa TMT wanatoza kilo 2. Muda mfupi baaa ya TMT kupost gharama mpya za mafunzo ya seminar nao wakaona isiwe tabu, ngoja na sisi tushushe ili twende sawa.
View attachment 674682
Bila shaka ujio wa TMT kwenye tasnia ya Forex umesaidia sana kufanya huduma hizi iwe accessible kwa watanzania wengi. Kutoka Kilo 5 mpaka Kilo 2 sio mchezo. Naamini kusingekuwa na TMT jamaa wa Dar Forex Academy wangekuwa wanatoza Kilo 6 hivi sasa!
View attachment 674683
Nawapengeza washikaji wa "Dar Forex Academy" ingawa wamechelewa. Hii itasaidia sana kuwafanya waTZ wengi waweze kuwa financially free ndani ya muda mfupi.
TMT na Dar Forex Ac endeleeni kupiga kazi ..........
Haaaa haaaa miye nimeenda ka ustadhi tuchek namba ya Bahati TATU MZUKA ustadhi anazingua eti kamali hainaga ndele dahMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kakuambia kweliHaaaa haaaa miye nimeenda ka ustadhi tuchek namba ya Bahati TATU MZUKA ustadhi anazingua eti kamali hainaga ndele dah