View attachment 674680 View attachment 674681 View attachment 674682 View attachment 674683 ONYO: siko hapa kugombanisha, kufarakanisha
Hawa Jamaa "Dar Forex Academy" walikuwa wanatoza Kilo 5, (500,000/=) kwa kichwa kimoja, yaani zile "buku buku ziwe mia tano"! Nakumbuka kabla ya ujio wa TMT nilipata kuweka nia ya kujiingiza kwenye hii biashara, ile baada ya kuona training fee ya hawa jamaa ilibidi nijiaminishe kuwa Forex is not for me...Kutokana na kauwezo kangu ka uchumu. Nilikuwa nawaza tu jinsi ya kupata hata hiyo kilo 1 ya kueposit kama mtaji wangu ( Ingawa uwezo wa kuipata nilikuwa nao).. ila nilipogundua kuwa seminar ni kilo 5 ikanibidi niendelee na matarajio mengineyo
View attachment 674681
Inaonekana habari za TMT zimewafikia na wakatambua kuwa TMT wanatoza kilo 2. Muda mfupi baaa ya TMT kupost gharama mpya za mafunzo ya seminar nao wakaona isiwe tabu, ngoja na sisi tushushe ili twende sawa.
View attachment 674682
Bila shaka ujio wa TMT kwenye tasnia ya Forex umesaidia sana kufanya huduma hizi iwe accessible kwa watanzania wengi. Kutoka Kilo 5 mpaka Kilo 2 sio mchezo. Naamini kusingekuwa na TMT jamaa wa Dar Forex Academy wangekuwa wanatoza Kilo 6 hivi sasa!
View attachment 674683
Nawapengeza washikaji wa "Dar Forex Academy" ingawa wamechelewa. Hii itasaidia sana kuwafanya waTZ wengi waweze kuwa financially free ndani ya muda mfupi.
TMT na Dar Forex Ac endeleeni kupiga kazi ..........