Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

[emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka maiti mochwari nzima zimesisimka.. Hata zilizokuwa zimenuna zimetabasamu loh..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwi kwi kwi kwi LoL! Unapiga zako bonge la hirizi kama la nanihii kitu loss tupa kuleee weye mwendo wa profit tu kila kukicha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3]sitaki mashindano kama ku trade ila ndumba haijawahi shindwa rafiki
Basi sisi tumshindanie huyu bibie maana forex ina wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
View attachment 674680 View attachment 674681 View attachment 674682 View attachment 674683 ONYO: siko hapa kugombanisha, kufarakanisha

Hawa Jamaa "Dar Forex Academy" walikuwa wanatoza Kilo 5, (500,000/=) kwa kichwa kimoja, yaani zile "buku buku ziwe mia tano"! Nakumbuka kabla ya ujio wa TMT nilipata kuweka nia ya kujiingiza kwenye hii biashara, ile baada ya kuona training fee ya hawa jamaa ilibidi nijiaminishe kuwa Forex is not for me...Kutokana na kauwezo kangu ka uchumu. Nilikuwa nawaza tu jinsi ya kupata hata hiyo kilo 1 ya kueposit kama mtaji wangu ( Ingawa uwezo wa kuipata nilikuwa nao).. ila nilipogundua kuwa seminar ni kilo 5 ikanibidi niendelee na matarajio mengineyo

View attachment 674681

Inaonekana habari za TMT zimewafikia na wakatambua kuwa TMT wanatoza kilo 2. Muda mfupi baaa ya TMT kupost gharama mpya za mafunzo ya seminar nao wakaona isiwe tabu, ngoja na sisi tushushe ili twende sawa.
View attachment 674682


Bila shaka ujio wa TMT kwenye tasnia ya Forex umesaidia sana kufanya huduma hizi iwe accessible kwa watanzania wengi. Kutoka Kilo 5 mpaka Kilo 2 sio mchezo. Naamini kusingekuwa na TMT jamaa wa Dar Forex Academy wangekuwa wanatoza Kilo 6 hivi sasa!
View attachment 674683
Nawapengeza washikaji wa "Dar Forex Academy" ingawa wamechelewa. Hii itasaidia sana kuwafanya waTZ wengi waweze kuwa financially free ndani ya muda mfupi.

TMT na Dar Forex Ac endeleeni kupiga kazi ..........
Arusha mnakuja lini bhana
 
Babeki... Tifu tifu

Tunaomba tuwajue basi wawakilishi wa dar forex academy humu jukwaani kama wapo. Maana kuna member mmoja anasema alipata $20,000$ loss na TMT akatafuta mentor mwingine na sasa yuko vema.
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Haaaa haaaa miye nimeenda ka ustadhi tuchek namba ya Bahati TATU MZUKA ustadhi anazingua eti kamali hainaga ndele dah
 
Haaaa haaaa miye nimeenda ka ustadhi tuchek namba ya Bahati TATU MZUKA ustadhi anazingua eti kamali hainaga ndele dah
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kakuambia kweli
 
Back
Top Bottom