demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kwa hiyo kufundishwa forex unalipa laki mbili?with all googles??????Kama nipo determined si ninanunua bando la 5000 tu naingia google najisomea.Watanzania wavivu jamani.Yaani wanasubiri kina Ontario wajisomee google then wao walipe laki mbili?Ama kweli usiombe kuwa deep kwenye kijiko.By the way mimi siijui Forex just because im not interested,other wise ningeingia chimbo mwenyewe.
Nakushauri kuwa katika Maisha yako usipene kufika hitimisho kwenye jambo fulani bila hata kulifahamu unani wake.
Huyo Ontario unayemzungumzia kuwa amejisomea GUGO naye ilibidi apitie Trading seminar ili awe hapo alipo sasa! Simaanishi kuwa hakuna FX trader ambaye ni self taught, wapo ila ni wachache sana. It demands a lot of efforts.
Trading seminars hupunguza umbali wa safari yako ya kujifunza, Ndio maana kipindi unasoma shule ulikuwa ukirudi unaenda kwenye mafunzo ya ziada yanayoitwa "TUITION".