Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Kwa hiyo kufundishwa forex unalipa laki mbili?with all googles??????Kama nipo determined si ninanunua bando la 5000 tu naingia google najisomea.Watanzania wavivu jamani.Yaani wanasubiri kina Ontario wajisomee google then wao walipe laki mbili?Ama kweli usiombe kuwa deep kwenye kijiko.By the way mimi siijui Forex just because im not interested,other wise ningeingia chimbo mwenyewe.

Nakushauri kuwa katika Maisha yako usipene kufika hitimisho kwenye jambo fulani bila hata kulifahamu unani wake.

Huyo Ontario unayemzungumzia kuwa amejisomea GUGO naye ilibidi apitie Trading seminar ili awe hapo alipo sasa! Simaanishi kuwa hakuna FX trader ambaye ni self taught, wapo ila ni wachache sana. It demands a lot of efforts.

Trading seminars hupunguza umbali wa safari yako ya kujifunza, Ndio maana kipindi unasoma shule ulikuwa ukirudi unaenda kwenye mafunzo ya ziada yanayoitwa "TUITION".
 
Acha uongo mkuu,,,Dar Forex Academy ilikuwepo ila chinichini,mimi nimefanyiwa mentoring bure kabisa baada ya kumtafuta Carl kipindi hicho,ila wameanza semina baada ya TMT kuanza,,na kupunguza being ni suala la kibiashara,,,,
Na kuwachamba TMT kwenye magroup yao yale mangapi vile ?
Wameanza lini ?
 
Double IDs;

Hivi wewe ONTARIO, ni kwanini unatumia ID mbili?

Kwani ukitumia id ya ontario pekee kuna shida gani hadi uje na hii ya Upepo wa Pesa?

Kwa hili, ninaamini wewe si mtu mwema na katapeli fulani hivi, maana ni kwanini ujifiche????
Mwaga ushahidi kwamba hizo Id ni mtu mmoja.
 
Kwa hiyo kufundishwa forex unalipa laki mbili?with all googles??????Kama nipo determined si ninanunua bando la 5000 tu naingia google najisomea.Watanzania wavivu jamani.Yaani wanasubiri kina Ontario wajisomee google then wao walipe laki mbili?Ama kweli usiombe kuwa deep kwenye kijiko.By the way mimi siijui Forex just because im not interested,other wise ningeingia chimbo mwenyewe.
Hapo kwenye watanzania wavivu badilisha dada
Watakuja Watanzania hapa utatushiwa mawe ![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa jamaa naona wanapita mpaka mitaani kutafuta wateja wiki iliyopita alinitembelea jamaa mmoja maeneo ya kkoo nikamuuliza kwani wewe na wakutoka kwa ontario hakasema hapana wao ofisi zai zipo mwenge na ata hamjui ontario akaacha kipeperushi chake nikamwambia nitakuja.
 
lil wayne,
Hao wapinzani wa ONTARIO walikua wanatoza hizo laki 5 kwa miezi 3,
vs
ONTARIO anatoza laki 2 kwa wiki moja, hapo akili yako inakutuma nani atakua anatoza ghali na nani cheaper??

Pili kushusha kwao bei naona ni kwa mikoani, je napo wanatoza hizo laki 2 kwa miezi mitatu kama Dar??
 
Kwa hiyo kufundishwa forex unalipa laki mbili?with all googles??????Kama nipo determined si ninanunua bando la 5000 tu naingia google najisomea.Watanzania wavivu jamani.Yaani wanasubiri kina Ontario wajisomee google then wao walipe laki mbili?Ama kweli usiombe kuwa deep kwenye kijiko.By the way mimi siijui Forex just because im not interested,other wise ningeingia chimbo mwenyewe.
hahahahahhahahahahhahaahhaah sawa mkuu ila inaonekana unachukulia mambo easy sana
 
Natafuta nauli niende Nigeria, nasikia jamaa wapi vizuri sana kwenye haya mambo uko vitu kama tatu mzuka, biko, betting uvikuti ukiweka utaishia kupigwa daily nasikia watu wanalala makaburini ili wabashiri tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Mzee ukizipata tu namie nisukumie hapa jirani yako. Hapa uchawi wa mwafrika utadunda kwa uchawi wa mzungu
 
Duh!! Kumbe ni vita ya kibiashara(MASLAHI) ila nahisi Dogo aliwadhibiti ndio maana wanamtengenezea zengwe.
 
Kiingereza cha ovyo utaweza kufundisha Forex kweli?
If your employed ndo nini sasa?
 
Back
Top Bottom