Pre GE2025 Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni hatari sana mwandishi wa habari akiwa shabiki na mwanachama wa chama tawala.Seriously Paschal unatumia kalamu yako vibaya na unatia aibu na hasira.Kwamba hujuma za wazi zinazofanywa na ccm huzioni ila unaona ni bora wapinzani watumie mbinu za kuibembeleza ccm iache wizi na hujuma😳
 
We usiwadharau wananchi kiivyo,!!!,mtu hata kama hana elimu usemayo,lkn kwa akili nyepesi tu,wengi walijionea uchaguzi ulopita,hivi nani asojua kilichofanyika??,,the same 2020, kweli wasijue kusoma,lkn washindwe kujua kilichofanyika?
Muda ni mwalimu mzuri, yangu macho tu. Labda wenzetu kuna kitu mnachokijua ambacho wengine hatujakiona bado, katika hii strategy.
 
Angalia uende kwa Daktari mapema matusi ni ya reja reja ni dalili ya stress na labda hb pressure.
Mkuu kuna hili kapu la bunch of fools and idiot ndio wanasumbua Chadema.
Wapo wapo hawaelewi impact ya kuendekeza ujinga.Wanategemea miujiza isiokuwa na mashiko.
 
Kukataa kushiriki uchaguzi ambao sio huru na haki nayo ni siasa. Si kuja vyama vingi si vishiriki. Kwani lazima chadema washiriki??
 
Kwanza huna adabu unalopoka tu bila brake,pili hata kabla ya kujasoma content na kuelewa unabwabwaja tu,tatu maadiko yako yanaonyesha upungufu mkubwa wa nidhamu ya kujibu hoja.
Mwisho tafuta ajira nyingine,siasa kwako ni sawa na tofauti ya maji na mafuta.
 
Kwanza huna adabu unalopoka tu bila brake,pili hata kabla ya kusoma content na kuelewa unabwabwaja tu,tatu maadiko yako yanaonyesha upungufu mkubwa wa nidhamu ya kujibu hoja.
Mwisho tafuta ajira nyingine siasa kwako ni sawa na tofauti ya maji na mafuta.
 
Nani huyo?
 
Inaweza kushinda kihalali kabisa kwa sababu za kihistoria, lakini haina uwezo wa kupata 2/3 ya kuwawezesha kufanya maamuzi yoyote wayatakayo bungeni. Uchaguzi ukiwa ww haki, ccm itakuwa kama ANC ya Afrika kusini. Tatizo ni kuwa ccm inaona aibu kukubaliana na ukweli huo. Na unahitaji chaguzi 2 tu za haki ccm kwenye kuishi kaburi moja na KANU ya Kenya. Ifahamike kuwa ccm sio chama cha kizazi hiki.
 
Mtag uliyemjibu kwa hasira hivi.
 
Wewe kwa topic yake hapo juu unadai watanzania wape wanachohitaji usihangaike na kuwapa makubwa wasiyohitaji. Lakini nashangaa hapa sasa unataka CDM ilete akina " ‘Saatchi & Saatchi, Cambridge Analytica and the likes" ambayo hata majina yake umeshindwa kuyaandika. kweli?
 
Mkuu
 

Mkuu Paskali hana uwezo wowote wa ushauri kuhusu mkakati wowote wa ushindi kwa watu ambao mikakati yao ina ushahidi wa ushindi!!!

Chama chake chenyewe hakiwezi kumtumia!!!
 
Ndio post yangu ilichomaanisha hiko?

Tatito ni wewe kushindwa ku-evaluate logic ya posts zote mbili unazo refer.



Unadhani watu wanajiripokea tu na kushinda uchaguzi. Kuna marketing strategies nyuma ya campaign.

Watu wataingia barabarani bila ya wao wenyewe kuchoka kwanza na kinachoendelea.

Mnaishi lala land
 
Nadhan umeacha kuzungumzia tatizo la msingi la nchi hii.
 
Mkuu Paskali hana uwezo wowote wa ushauri kuhusu mkakati wowote wa ushindi
hawa jamaa zangu nimewasaidia sana tuu,mfano ile 2012 Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
wange implement huo ushauri, saa hizi, wangekuwa ikulu siku nyingi!
kwa watu ambao mikakati yao ina ushahidi wa ushindi!!!
Mikakati gani hiyo,please share huo ushindi!
Chama chake chenyewe hakiwezi kumtumia!!!
Ni kawaida nabii hakubaliki nyumbani。

Angalia hii program just the last 5 min uangalie namshauri nini Mwenyekiti kuhusu wapinzani。
View: https://youtu.be/W-VNqU6wPDk?si=5uFV4k0I6q_OTnuZau

View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=te9YF0ujcv8N5BXSau

View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=bO-BvaqTMNc2yBQzau

View: https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=pw0oEqQzMQCw7vDVHuyu ni mtu anayetafuta shavu?。
P
 
Tuunganishe nguvu ndugu kuisapoti CCM inayofanya udikteta na kujenga mfumo unaoua demokrasia sio akili hata akina Samia wanaomba wamalize tuu muda wao salama na baada ya hapo CCM ife kwani ni hatari hata kwa maisha yao baadaye.
 
Mimi ninakubaliana na mkakati wa ACT wa kuwa na jukwaa la pamoja la vyama makini kuhusu kuuendea uchaguzi wa 2025. kauli ya no reform no elections kidogo ni ambigous kwa wananchi. nadhani msimamo kuwa Chadema haitasusa itashiriki lakini hautakuwa uchaguzi bora bila maboresho ndiyo hoja iliyojificha nyuma ya pazia la No REFORM NO ELECTION. Ufafanuzi uelekee huko na kisha wananchi asasi na viongozi wa dini waelemishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…