Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao Wehu hawa, wamekuja na Sound za UDINI zimebuma.Mbowe akimbie nchi Sasa hivi! Kama akukimbia kipindi Cha Magu. Acha fix
Sema "kiboko yetu". Nasikia mama anarudisha timu ya vijana wa Magufuli? Tutakoma ubishi.Wewe kiboko Yako Marehemu John Magufuli tu, wewe ni muoga! Na wewe ni mchumia tumbo
Ili kutafuta huruma kwenye jamii , Wapinzani wameanza kutafutiana ajali za kiafya na kisiasa ili wasingizie Serikali.
Alianza Dkt Nshala kusema anatafutwa ili auawe eti kwa sababu anapinga DP World, Na sasa Mbowe anatangaza taarifa kwa watu wake wa karibu kuwa amelishwa sumu akiwa kwenye kikao cha CHADEMA juzi , huku akiamini kuwa Serikali ilituma wana usalama kwenda kutegesha sumu kwenye vyakula vyao.
Script zao zimeanza rasmi
1. Dkt Nshala amekimbilia Kenya tayari, mpaka muda huu ame report ubalozi wa Canada nchini Kenya
Ameomba hifadhi akisema anatishiwa usalama wake.
2. Mbowe anataka kukimbia nchi na yeye kwenda Uholanzi, kwa kile anachodai amewekewa sumu kwenye chakula na maafisa usalama wa serikali.
Note: Ndugu zangu, Wapinzani wamekosa hoja za msingi , wameanza maigizo yale yale ,kutafuta huruma ya wananchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Rais Samia ni mweledi sana na ana busara sana, Huu unaofanywa na Mbowe ni utoto , Nshala rudi kwa Mke wako hayo maigizo huyawezi
Akili yake anafikiri west watapinga Dpworld...hajui Dpworld mwanahisa hisa mkubwa ni USA 🤣🤣🤣Yupo Kenya Ubalozi wa Canada, anatusemea kwa Mabeberu
Hili ndilo tatizo la kuwa na akili katikati ya kundi la wananzengo wenye uelewa wa mshumaa.Mleta mada acha kushabikia upumbavu, jua kuwa hao wanaotishiwa kifo ni binadamu na wana familia zinazowategemea pia!!
Mlileta hoja za kijinga hiv hiv kipindi cha Ben Saanane na Lisu, yakawapata ya kuwapata!!
Mlaaniwe na vizazi vyenu kwa kujua yanayotendeka gizani na kuyafunika kwa sababu siyo familia zenu zitakazoumia!!
Uovu huo huo usipokurudia wenyewe utawarudia wanao au wajukuu zako au wana wa wajakuu zako!!
Pende kuwazia wengine mema kama unavyojiwazia wewe mwenyewe!!
Huyo wa kuitwa faizaajuza yupe tena
Kuna wakati Slaa alisema alifikiri watekaji walikuwa ni serikali, kuwastukia kumbe ni chadema. Unakumbuka?Mleta mada acha kushabikia upumbavu, jua kuwa hao wanaotishiwa kifo ni binadamu na wana familia zinazowategemea pia!!
Mlileta hoja za kijinga hiv hiv kipindi cha Ben Saanane na Lisu, yakawapata ya kuwapata!!
Mlaaniwe na vizazi vyenu kwa kujua yanayotendeka gizani na kuyafunika kwa sababu siyo familia zenu zitakazoumia!!
Uovu huo huo usipokurudia wenyewe utawarudia wanao au wajukuu zako au wana wa wajakuu zako!!
Pende kuwazia wengine mema kama unavyojiwazia wewe mwenyewe!!