Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilianza hivi hivi kwa Lisu, Ben saanane, Azory Gwanda, nk wakapotezwa, wakauawa na wengine kufanywa viwete.Ili kutafuta huruma kwenye jamii , Wapinzani wameanza kutafutiana ajali za kiafya na kisiasa ili wasingizie Serikali.
Alianza Dkt Nshala kusema anatafutwa ili auawe eti kwa sababu anapinga DP World, Na sasa Mbowe anatangaza taarifa kwa watu wake wa karibu kuwa amelishwa sumu akiwa kwenye kikao cha CHADEMA juzi , huku akiamini kuwa Serikali ilituma wana usalama kwenda kutegesha sumu kwenye vyakula vyao.
Wakati Lisu anasema kuna gari linamfuatilia mlipinga..!! Na tena aliwatajia hadi namba za gari, bado mlipinga..!! MPAKA ALIPOMIMINIWA RISASI NYINGI, BADO MLIPINGA..!! HIVI MNATAKA MPAKA WAUWAWE NDO MUONE WANACHOKISEMA NI CHA KWELI?Ili kutafuta huruma kwenye jamii , Wapinzani wameanza kutafutiana ajali za kiafya na kisiasa ili wasingizie Serikali.
Alianza Dkt Nshala kusema anatafutwa ili auawe eti kwa sababu anapinga DP World, Na sasa Mbowe anatangaza taarifa kwa watu wake wa karibu kuwa amelishwa sumu akiwa kwenye kikao cha CHADEMA juzi , huku akiamini kuwa Serikali ilituma wana usalama kwenda kutegesha sumu kwenye vyakula vyao.
Script zao zimeanza rasmi
1. Dkt Nshala amekimbilia Kenya tayari, mpaka muda huu ame report ubalozi wa Canada nchini Kenya
Ameomba hifadhi akisema anatishiwa usalama wake.
2. Mbowe anataka kukimbia nchi na yeye kwenda Uholanzi, kwa kile anachodai amewekewa sumu kwenye chakula na maafisa usalama wa serikali.
Note: Ndugu zangu, Wapinzani wamekosa hoja za msingi , wameanza maigizo yale yale ,kutafuta huruma ya wananchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Rais Samia ni mweledi sana na ana busara sana, Huu unaofanywa na Mbowe ni utoto , Nshala rudi kwa Mke wako hayo maigizo huyawezi
just for your information , serikal haikuhusika na tukio la Lissu , i'm sure hata Lissu anajua hikiWakati Lisu anasema kuna gari linamfuatilia mlipinga..!! Na tena aliwatajia hadi namba za gari, bado mlipinga..!! MPAKA ALIPOMIMINIWA RISASI NYINGI, BADO MLIPINGA..!! HIVI MNATAKA MPAKA WAUWAWE NDO MUONE WANACHOKISEMA NI CHA KWELI?
Kuna script watu hawazijui , sio kwanza watu uliowataja hawakupata madhara, lakini nakuhakikishia serikal haikuhusika , waliodhiriwa wanajua serikal haikuhusikaIlianza hivi hivi kwa Lisu, Ben saanane, Azory Gwanda, nk wakapotezwa, wakauawa na wengine kufanywa viwete.
endeleeni na hizi spining tu ila hamtabaki salama wakati huu akidhurika yeyote. Mwaikenda mlimkosakosa juzi. Niwahakikishieni tu kipindi ni ua uawe piga upigwe na kila aina mtakayo chagua. Tunawafahamu kwa majina msijifiche! wasiojulikana! kichaka chenu kitachomw a==== moto! AMINI Hii
Unaona sasa, mnachanganya fact na propaganda, migodi haijabinafsishwa? Kuna viwanda vingap vimesha binafsishwa? Kampuni ya Sigara ni ya mzawa?Wee Cha sumu,siku wajukuu wako wakianza kukufinya finya kuwa, babu,mliwaza nini hata kuwakabidhi wageni rasirimali muhimu za nchi? Usije ukawalaani.
Mungu je???Sasa serikali ipange kukuua ,ukimbilie Kenya ? Kama ni serikali kweli unaamini ?
SIna nilipoandika kuwa serikali inahusika na tukio la LIsu. Ila kwa sasa nasema inahusika kwenye kulichunguza tukio hilo.just for your information , serikal haikuhusika na tukio la Lissu , i'm sure hata Lissu anajua hiki
Pia ungejiuliza maswali yafuatayo:SIna nilipoandika kuwa serikali inahusika na tukio la LIsu. Ila kwa sasa nasema inahusika kwenye kulichunguza tukio hilo.
1. Ndani ya serikal;i wakabane, ni kwa nini hawajafanya uchunguzi hadi sasa..!!
2. Alikopigiwa risasi kulikuwa na ulinzi mkubwa tu. Siku ya tukio walikuwa wapi? Usisahau wale walinzi ni wa serikali
3. Kulikuwa naCCTV cameras, baada ya tukio zimepotea, nani kazitoa? Eneo kama lile unaweza toa CCTV kamera mtu asiyehusika?
shida ni kwamba, palipo na wanachadema 100, ishirini ni wanausalama, wanapokea na mpunga kabisa toka serikalini. hivyo huwezi kurule out suala la kusalitiana, ni vita muraa. kwa Nshala, akimbie tu.Ili kutafuta huruma kwenye jamii , Wapinzani wameanza kutafutiana ajali za kiafya na kisiasa ili wasingizie Serikali.
Alianza Dkt Nshala kusema anatafutwa ili auawe eti kwa sababu anapinga DP World, Na sasa Mbowe anatangaza taarifa kwa watu wake wa karibu kuwa amelishwa sumu akiwa kwenye kikao cha CHADEMA juzi , huku akiamini kuwa Serikali ilituma wana usalama kwenda kutegesha sumu kwenye vyakula vyao.
Script zao zimeanza rasmi
1. Dkt Nshala amekimbilia Kenya tayari, mpaka muda huu ame report ubalozi wa Canada nchini Kenya
Ameomba hifadhi akisema anatishiwa usalama wake.
2. Mbowe anataka kukimbia nchi na yeye kwenda Uholanzi, kwa kile anachodai amewekewa sumu kwenye chakula na maafisa usalama wa serikali.
Note: Ndugu zangu, Wapinzani wamekosa hoja za msingi , wameanza maigizo yale yale ,kutafuta huruma ya wananchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Rais Samia ni mweledi sana na ana busara sana, Huu unaofanywa na Mbowe ni utoto , Nshala rudi kwa Mke wako hayo maigizo huyawezi
hata Tundu Lisu awe makini sana, na Mungu amsaidie. lazima wauwaji watakuwa wanammezea mate sana.SIna nilipoandika kuwa serikali inahusika na tukio la LIsu. Ila kwa sasa nasema inahusika kwenye kulichunguza tukio hilo.