Wapinzani waanza kucheza michezo ya kutekana

Wewe kiboko Yako Marehemu John Magufuli tu, wewe ni muoga! Na wewe ni mchumia tumbo
umewahi kumkuta anachumia Tumbo? hii ni character assanination isiyo na ushahidi
 

Mleta mada acha kushabikia upumbavu, jua kuwa hao wanaotishiwa kifo ni binadamu na wana familia zinazowategemea pia!!

Mlileta hoja za kijinga hiv hiv kipindi cha Ben Saanane na Lisu, yakawapata ya kuwapata!!

Mlaaniwe na vizazi vyenu kwa kujua yanayotendeka gizani na kuyafunika kwa sababu siyo familia zenu zitakazoumia!!

Uovu huo huo usipokurudia wenyewe utawarudia wanao au wajukuu zako au wana wa wajakuu zako!!

Pende kuwazia wengine mema kama unavyojiwazia wewe mwenyewe!!
 
Halafu wewe ajuza una kiherehere sana na tunakujua awamu hii hatutakubali kupotezwa kizembe. Tumejipanga tunakuombea ujionee huruma mwenyewe
 
Hili ndilo tatizo la kuwa na akili katikati ya kundi la wananzengo wenye uelewa wa mshumaa.
Kosa langu lipi hapa?
Kuku ambia Nshala amekimbilia Kenya ni kosa?
Kukwambia Mbowe anasema kalishwa sumu ni kosa?
Haya sema wewe ,Nshala kakimbilia kata ipi
 
Umetumwa na hao unaowatumikia kuja kupotosha ila haitowasaidia.
 
Kuna wakati Slaa alisema alifikiri watekaji walikuwa ni serikali, kuwastukia kumbe ni chadema. Unakumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…