Wapinzani waanza kucheza michezo ya kutekana

Halafu wewe ajuza una kiherehere sana na tunakujua awamu hii hatutakubali kupotezwa kizembe. Tumejipanga tunakuombea ujionee huruma mwenyewe
Amka kidogo, unamuongelea nani? "ajuza" tupo wengi.

leo naona kumepoa kidogo wale "madogo" wanaorushiwa vifurushi leo hawakurushiwa.

katibu Mkuu wa chadema mbona yuko kimya sana? Au wachaga hawampi nafasi hata ya kupumuwa?
 
Nyie ni vampires mmezoea kunyonya na kunywa damu za watu
 
Hao wameona mama kakaa kimya hastuki sasa wanaanza kutia fitna nchi za nje.


hawaelewi kuwa hao wa nchi za nje wanaielewa Tanzania kuliko tunavyojielewa wenyewe.

Siasa za kijinga zinajulikana.
Maza sasa Rasmi... SIMBA WA YUDA.
 

Umesahau namba ya simu
 
hahaaaa kiko wapiii. wajinga sana hao watu
 
Mkuu, Hivi una uhakika kama upo sawasawa kweli kichwani?????
Hauna cheti cha Mirembe ??
 
Nakaribia kuamini jambo hili.Hivi ni nani awatishie maisha hao watu.
 
Huu ujumbe mahususi kwa Nape na Rais Samia. Sisi ni Chawa wa Mama ila hatupendezwi na haitatokea kupendezwa na kauli zao za kumdhihaki Dkt Magufuli akiwa amelala umautini, na haitakaa itokee tumdhihaki Rais Samia hata akitoka Madarakani, tutamtetea no matter what, ila kwa ujeuri wao wa kumdhihaki Dkt Magufuli wakidhani eti alikuwa dikiteta, anateka watu wakati inajulikana kabisa hawa wapinzani walitengeneza matukio ya kutekana leo hii nao huyo huyo Nape anaanza kulalamika eti watu wanatoka maoni mabaya, atulie kimya maana alionesha dharau sana kwa Dkt Magufuli. Nchi haiendeshwi kwa ulegevu.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†
 
Acheni ushetani wenu. Serikali ya Mzanzibari, ikipoteza maisha ya Watanganyika, hakika atarudi kwao bila hata ya bag. Na Muungano utaishia hapo.

Awaambie hao watu wake, wasije wakathubutu kuyafanya hayo mliyopanga. Mtajuta.
 
Yupo Kenya Ubalozi wa Canada, anatusemea kwa Mabeberu
Hayo mataifa yote ya watu wastaabu huwa hawampokei mtu kwa sababu tu amesema uhai wake upo hatarini mpaka kwanza wathibitishe kuwa ni kweli.

Wakimpokea tu, lazima kutakuwa na vielelezo vya uhakika ambavyo virakuwa vimechunguzwa na kujitidhisha kuwa Serikali ya Samia ina mipango michafu dhidi ya wakosoaji.
 
Hicho kitu hakiko hivyo , nenda hata leo ulaya ,ukisema tu kuwa wewe ni Shoga , na nchini ushoga hauruhusiwi wanakupokea , hawafanyi hio due diligence
 
Acheni ushetani wenu. Serikali ya Mzanzibari, ikipoteza maisha ya Watanganyika, hakika atarudi kwao bila hata ya bag. Na Muungano utaishia hapo.

Awaambie hao watu wake, wasije wakathubutu kuyafanya hayo mliyopanga. Mtajuta.
umewahi sikia Mama samia chini ya utawala wake ameteka hata mtu mmoja?
Acheni kuumba vitu visivyokuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…