Wapinzani waanza kucheza michezo ya kutekana

Hii id poisonous siku zote nimekuwa nikiamini ni ya chawa wa Samia, haina jipya.
 
Wee Cha sumu,siku wajukuu wako wakianza kukufinya finya kuwa, babu,mliwaza nini hata kuwakabidhi wageni rasirimali muhimu za nchi? Usije ukawalaani.
 
Ilianza hivi hivi kwa Lisu, Ben saanane, Azory Gwanda, nk wakapotezwa, wakauawa na wengine kufanywa viwete.
endeleeni na hizi spining tu ila hamtabaki salama wakati huu akidhurika yeyote. Mwaikenda mlimkosakosa juzi. Niwahakikishieni tu kipindi ni ua uawe piga upigwe na kila aina mtakayo chagua. Tunawafahamu kwa majina msijifiche! wasiojulikana! kichaka chenu kitachomw a==== moto! AMINI Hii
 
Wakati Lisu anasema kuna gari linamfuatilia mlipinga..!! Na tena aliwatajia hadi namba za gari, bado mlipinga..!! MPAKA ALIPOMIMINIWA RISASI NYINGI, BADO MLIPINGA..!! HIVI MNATAKA MPAKA WAUWAWE NDO MUONE WANACHOKISEMA NI CHA KWELI?
 
just for your information , serikal haikuhusika na tukio la Lissu , i'm sure hata Lissu anajua hiki
 
Kuna script watu hawazijui , sio kwanza watu uliowataja hawakupata madhara, lakini nakuhakikishia serikal haikuhusika , waliodhiriwa wanajua serikal haikuhusika
 
Wee Cha sumu,siku wajukuu wako wakianza kukufinya finya kuwa, babu,mliwaza nini hata kuwakabidhi wageni rasirimali muhimu za nchi? Usije ukawalaani.
Unaona sasa, mnachanganya fact na propaganda, migodi haijabinafsishwa? Kuna viwanda vingap vimesha binafsishwa? Kampuni ya Sigara ni ya mzawa?
Watu wanashikiwa akili makusudi na akina slaa,
Slaa kaoa ukoo wa akina Karamagi aliyekua Moja ya wamiliki wa TICS
unatarajia ataongea nin?
 
just for your information , serikal haikuhusika na tukio la Lissu , i'm sure hata Lissu anajua hiki
SIna nilipoandika kuwa serikali inahusika na tukio la LIsu. Ila kwa sasa nasema inahusika kwenye kulichunguza tukio hilo.

1. Ndani ya serikal;i wakabane, ni kwa nini hawajafanya uchunguzi hadi sasa..!!

2. Alikopigiwa risasi kulikuwa na ulinzi mkubwa tu. Siku ya tukio walikuwa wapi? Usisahau wale walinzi ni wa serikali

3. Kulikuwa naCCTV cameras, baada ya tukio zimepotea, nani kazitoa? Eneo kama lile unaweza toa CCTV kamera mtu asiyehusika?
 
Pia ungejiuliza maswali yafuatayo:
1) Lissu aliketi upande wa kushoto kuliko miminiwa risasi lakini amejeruhiwa vibaya upande wa kulia, ilikuwaje?
2) Dereva alikuwa upande wa kulia, Lissu alikojeruhiwa vibaya, lakini hakupata kupigwa hata na risasi moja, kwa nini?
 
shida ni kwamba, palipo na wanachadema 100, ishirini ni wanausalama, wanapokea na mpunga kabisa toka serikalini. hivyo huwezi kurule out suala la kusalitiana, ni vita muraa. kwa Nshala, akimbie tu.
 
hata Tundu Lisu awe makini sana, na Mungu amsaidie. lazima wauwaji watakuwa wanammezea mate sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…