Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Alikutana na yule Jamaa mwenye ulemavu ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikutana na yule Jamaa mwenye ulemavu ...
Unakusudia kusema wapinzani siasa ni ziada tu?ccm wengi hawana maisha nje ya siasa, period!
Ndio ukweli ni kwamba watu wanaoihama ccm mara nyingi huwa hawazungumzii sana madhambi yaliyoko huko ndani japo sina hakika sababu ni nini lakini watu wanaotoka upinzani hueleza tuhuma nzito na za waziwazi moja wapo ni kwamba chama kimehodhiwa na watu wachache.Embu! bila shaka yeyote na ili watu wajiridhishe taja uhuni wa Mbowe kwa ushahidi halisi usio tia shaka ! Ili kuondoa uongo ulio tengenezwa dhiidi ya Mbowe.
Sio suala la njaa watanzania tunasumbuliwa na siasa za kuoneana haya yaani unakuta mtu kaharibu na una uhakika kaharibu ila unaogopa kusema kwa sababu anatoka chama chako.Usiombe msamaha huko CCM ulale na njaa. Usicheze na utamu wa keki yaa taifa arifu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani mzee mangula aliwahi kuwa na mawazo tofauti alipatwa na nini?Alikutana na yule Jamaa mwenye ulemavu ...