PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,062
- 1,138
Hapa ndio naonaga vyama vya upinzani ni vyakupigia dili tu. Sasa kuna sababu gani ya kukimbia uchaguzi ambayo utamweleza mgombea wa chama chako akakuelewa l baada ya kuwekeza kwa muda miaka yote hiyo.
Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa ngazi ya chini na wao wamewekeza muda na fedha zao kwenye hizo chaguzi.
Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa ngazi ya chini na wao wamewekeza muda na fedha zao kwenye hizo chaguzi.