Hapa ndio naonaga vyama vya upinzani ni vyakupigia dili tu. Sasa kuna sababu gani ya kukimbia uchaguzi ambayo utamweleza mgombea wa chama chako akakuelewa l baada ya kuwekeza kwa muda miaka yote hiyo.
Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa ngazi ya chini na wao wamewekeza muda na fedha zao kwenye hizo chaguzi.
View attachment 1262803
Kwanza tu chanzo cha habari yenyewe ni
JAMVI.....la Habari.
Kuna msemo mmoja maarufu kwa wanawake MALAYA ambao kila mwanamme anamtaka....hao huitwa ni
JAMVI LA WAGENI....yaani MALAYA MALAYA TU.Bila shaka waandishi wa Gazeti hili la
JAMVI LA HABARI hawana tofauti na wanawake wanaoitwa Jamvi la Wageni.
Baada ya kusema hayo nimgeukie huyu kichaa na mwendawazimu ambaye anaweza kuwa SUMU mbaya sana kwa Taifa letu kiasi cha kuchochea na kuja kusababisha vita vya kimbari huko mbele...!!!
Polepole ni kichaa na bila shaka IQ yake iko chini sana na mtu mwenye kupenda ''Cheap Politics'' kwa kutumia mipasho ya mitaani ambayo haijengi baali inazidi kubomoa na kuvunja misingi ya AMANI, UPENDO na MSHIKAMANO wa WATZ..
Tangia mwanzo wa kuanza mchakato wa Uchaguzi wa SM-2019, Polepole amekuwa akitofautiana sana na Waziri mwenye dhamana (SM) Bwana Selemani Jafo...!!Baada ya Jafo kuona mambo yanawaharibikia kwa Upinzani kujitoa Jafo alianza kuongea kauli zenye utata zenye kutaka mwafaka ili kuwarudisha wapinzani kwenye Uchaguzi lakini Polepole aliendelea kuwanananga na kudharsu Upinzani huku akitamba na kujisifu kuwa CCM tayari ilikuwa imeshinda kwa asilimia 90% kwa kutumia hiyo HILA na UDANGANYIFU kuwaengua Wapinzani....!!!
Poleple bila ya HAYA wala AIBU anaendelea kuropoka kuwa ati...''Wapinzani wamekimbia aibu ya Kushindwa''...!!!Huo ni uongo wa mchana kweupe. Polepole angeeleweka kama angelisema hivi: CCM WAMEAMUA KUVURUGA UCHAGUZI KWA KUOGOPA AIBU YA KUSHINDWA NA WAPINZANI!
Kama Polepole hatadhibitiwa na CCM yake na TISS kwa kauli zake hizi za kihunihuni hakika kuna siku atasababisha machafuko na majanga mabaya sana kwa Taifa hili ambayo pengine yanaweza kuyapiku hata yale ya Kimbari ya Rwanda.