PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,062
- 1,138
Hapa ndio naonaga vyama vya upinzani ni vyakupigia dili tu. Sasa kuna sababu gani ya kukimbia uchaguzi ambayo utamweleza mgombea wa chama chako akakuelewa l baada ya kuwekeza kwa muda miaka yote hiyo.
Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa ngazi ya chini na wao wamewekeza muda na fedha zao kwenye hizo chaguzi.View attachment 1262803
ndio tunarud pale pale vile ni vyama vya matukio au vyama vyakupiga dil mjini.Huku kitaani wagombea wa Upinzani wanapingana na maagizo ya Mbowe waziwazi kwa kumshangaa kwa atua yake ya kufanya maamuzi ya Kidikteta kwa kutangaza maamuzi yake binafsi bila kuwashirikisha wagombea husika,
Ajabu ni kwa Vyama ambayo avikusimamisha wagombea kwa kukosa watu wa kuwasimisha nao kutangaza kujitoa!
ndio tunarud pale pale vile ni vyama vya matukio au vyama vyakupiga dil mjini.
wapinzani wanasahau kuwa wanaenda kuwafanya wananchi wa vyama vyao kuto hamua hatima ya maisha yao katika ngazi ya mtaa kwa kipindi cha miaka mitano
Huku kitaani wagombea wa Upinzani wanapingana na maagizo ya Mbowe waziwazi kwa kumshangaa kwa atua yake ya kufanya maamuzi ya Kidikteta kwa kutangaza maamuzi yake binafsi bila kuwashirikisha wagombea husika,
Ajabu ni kwa Vyama ambayo avikusimamisha wagombea kwa kukosa watu wa kuwasimisha nao kutangaza kujitoa!
Katika uzinduzi wa kitabu cha raisi mstafu ndugu BW Mkapa alitoa jumbe mbili. Kwanza alikisema chama chake kujisahau sana kana kwamba hakuna upinzani wakati upinzani upo na unakua kwa kasi kubwa sana na pia raisi mstafu alifikia mpaka kusema kuwepo na tume huru ya uchaguzi ambalo pia ni jambo jema kwa mustakabazi wa afya ya demekrasia katika nchi yetu,ili jambo la kwanza ndio wamelibeba kwa nguvu sana wapinzani na kulizungumzia,lakini jambo la pili aliwazungumzia wapinzani kwa namna wanavyo jisahau kwa kufanya mambo kwa namna wanavyotaka,Kutumia maslahi binafsi kuliko maslahi ya taifa. Wanatumia muda mwingi sana kwenda njee ya nchi kuomba misaada ya kuendesha mikutano yao ya kisiasa,kufanya maandamano na vurugu nyingine za kudai demokrasia bila kujali haki za raia.
Jamani wapinzani mkiamua kubeba bebeni yote.
Mliandaa mazingira ya ushindi kwa mikakati hii:-Hakika, Wanacho kifanya kwa sasa ni " Defensive mechanism " yaani wanatengeneza mazingira ya kujihami ili wapate la kusema baada ya matokeo,
Ndio maana hawajajitoa rasmi kiutaratibu maana walipaswa KUWATAARIFU mamlaka husika (TAMISEMI) kwa barua,
Wao wanaishia kuadaa watanzania kwenye vyombo vya habari
Kumbe ni huyu, basi!Hapa ndio naonaga vyama vya upinzani ni vyakupigia dili tu. Sasa kuna sababu gani ya kukimbia uchaguzi ambayo utamweleza mgombea wa chama chako akakuelewa l baada ya kuwekeza kwa muda miaka yote hiyo.
Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa ngazi ya chini na wao wamewekeza muda na fedha zao kwenye hizo chaguzi.View attachment 1262803
kwa sababu chadema ni chama kikuu cha upinzaniKwa CCM shida yao nini? Wao si ni chama pia kinataka kushika madaraka. Basi wao waendelea na uchaguzi kwani wengine kushiriki ni lazima? Ushawahi kusikia CCM wakilalamika TADEA SAU au JAHAZI asilia wasiposimamisha wagombea au wasiposhiriki chaguzi? Why CDM? Kujitoa CDM imekuwa shida kelele utafikiri mwali kagoma kuolewa waoaji wanataka kurudishiwa chao.
Upuu.zi tu
kafanyajeKumbe ni huyu, basi!
vyama vyote vilijiwekea taratibu,sasa iweje kuwe kumekiukwa taratibu alafu hawataki kufata taratibu sijui kama umenielewaALIEANDIKA HUU UZI PENGINE HAFUATUTILII SIASA AU PENGINE AMEANDIKA HIVYO KUJIFURAHISHA KAMA HUYO MWENYE HILO GAZETI, HIVI UTAWALAZIMISHAJE AU UTAWALAUMU VIPI WATU KUTOSHIRIKI UCHAGUZI WAKATI ULISHAONA KABISA CCM WANAJITANGAZA WALISHASHINDA TENA KWA ZAIDI YA 60% BAADA YA KUWAKATA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE?
Rengo kuu la chama chochote cha siasa ni kuchukua dola,na njia moja wapo ya kuchukua dola ni kushiriki chaguzi sasa hawa jamaa zetu wanakimbia uchaguzi tuwafikiliaje kama sio vyama vya kupigia pesa mjiniKwa CCM shida yao nini? Wao si ni chama pia kinataka kushika madaraka. Basi wao waendelea na uchaguzi kwani wengine kushiriki ni lazima? Ushawahi kusikia CCM wakilalamika TADEA SAU au JAHAZI asilia wasiposimamisha wagombea au wasiposhiriki chaguzi? Why CDM? Kujitoa CDM imekuwa shida kelele utafikiri mwali kagoma kuolewa waoaji wanataka kurudishiwa chao.
Upuu.zi tu
mzee mkapa kwenye kitabu chake kaeleza pata nakala yako utajua zaidiJe ni lini na wapi vyama vya upinzani vilifanya maandamano na vurugu ili kufanikisha mambo Yao?
Je ni mwanasiasa gani, awe wa Chama tawala au upinzani asiyekuwa mbinafsi?