Kama haiaminiki kwa wananchi kwanini kutwa mnahangaika nayo?Labda tuwape Makonda au Sabaya ndipo Chadema itaaminika kwa wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haiaminiki kwa wananchi kwanini kutwa mnahangaika nayo?Labda tuwape Makonda au Sabaya ndipo Chadema itaaminika kwa wananchi.
Kama hakuna ni kwanini CCM inatumia nguvu kubwa kupambana na chadema inatumia polisi na mahakama kupambana na chadema unaikumbuka kesi ya ugaidi ya mbowe?Its true, Tanzania hatuna serious opposition.
P
Kipindi cha mkapa wewe ulikuwa na umri gani na sasa una umri gani. Kipindi cha mkapa kulikuwa na population kiasi gani na sasa hivi iko kiasi gani? Kila kitu kinabadilika baada ya muda flani. Maswali mengine mpaka unajiuliza kama muulizaji kafika hata darasa la tatuKipindi cha Mkapa sukari ilikua bei gani ukilinganisha na sasa?
Petrol ilikua bei gani?
Mchele na vifaa vya ujenzi?
Kwa Mkapa ulilipa tozo yoyote kwenye simu?
Vipi kuhusu tozo ya majengo kwenye umeme?
Hujaona mabadiliko yeyote mkuu?
Inasikitisha sana hatuwezi kuwapa nchi waganga njaa!Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki.
Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki.
Wakajaribu kusikilizia upepo haukwenda sawa. Wakaja na suala la Katiba mpya. Likaenda enda wakaliacha. Hawajawa na consistency katika hili jambo la msingi sana. Wameiacha hoja hii ya msingi ya Katiba Mpya.
Sasa wanadakia na kusimamia kila tamko linalosemwa na wanasisiem. Na hasa hasa matamko ya Makonda. Inashangaza. Hawana tena data mbalimbali za msingi za kuelezea ufisadi ambao unafanyika. Hawana muda wa kuelezea madhambi mbalimbali na mapungufu wanayoyaona.
Watanzania wana maisha magumu hakuna wa kuwasemea. Kwa sasa kila mtu anaimba wimbo wake. Lema amekazana na kauli ya Makonda ndo imekuwa sera yake. Hana jipya.
Lini tutapata upinzani imara wa kweli? Mwacheni Zitto yeye anakula pension. Huyo msimguse yupo ICU. safari hii hana cha kukosoa.
Sasa hivi Ccm imeamua kufuga machawa baada ya kupoteza mvutoCcm ina Sera gani zaidi ya UFISADI? WANANCHI MNAPIGWA PESA ZENU na Wajanja mpo tu Mausha Magumu mpaka kwa wanaccm mpo tu kweli kuwa mwanachama wa ccm kunahitaji uwe MJINGA SANA
Tatizo la CHADEMA ni kuwakumbatia wageni wa nje kuwafanyia Propaganda. Na tatizo linakiwa kubwa kwasababu "marafiki wao wa Demokrasia" au vyama inavyoshirikiana nao, kwa sasa, wanaelemea to the far right. Ni mabaguzi na hawana interest yeyote ile na Jamii ya Mtanzania zaidi ya kutaka Rasilimali za Nchi hii.Labda tuwape Makonda au Sabaya ndipo Chadema itaaminika kwa wananchi.
Ume hesabu nyuzi zenu za Makonda na CCM?Hivi CCM huwa hawana cha kuzungumza mbali na kuiongelea Chadema? Mara Chadema imekufa mara Chadema hawana sera lakini muda wote wanaiongelea Chadema
Hata isipoongelewa au kuzungumziwa, CHADEMA ni puppets wa mabeberu.Hivi CCM huwa hawana cha kuzungumza mbali na kuiongelea Chadema?
hawana viongozi mahiri, wenye maono, dhamira na nia ya dhati ya kuwakomboa waTanzania 🐒Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki.
Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki.
Wakajaribu kusikilizia upepo haukwenda sawa. Wakaja na suala la Katiba mpya. Likaenda enda wakaliacha. Hawajawa na consistency katika hili jambo la msingi sana. Wameiacha hoja hii ya msingi ya Katiba Mpya.
Sasa wanadakia na kusimamia kila tamko linalosemwa na wanasisiem. Na hasa hasa matamko ya Makonda. Inashangaza. Hawana tena data mbalimbali za msingi za kuelezea ufisadi ambao unafanyika. Hawana muda wa kuelezea madhambi mbalimbali na mapungufu wanayoyaona.
Watanzania wana maisha magumu hakuna wa kuwasemea. Kwa sasa kila mtu anaimba wimbo wake. Lema amekazana na kauli ya Makonda ndo imekuwa sera yake. Hana jipya.
Lini tutapata upinzani imara wa kweli? Mwacheni Zitto yeye anakula pension. Huyo msimguse yupo ICU. safari hii hana cha kukosoa.
Sasa kwanini msikifutie usajiri. Bashite lazima asemwe ili vizazi vimjue rangi yake halisi,maana mzaha mzah Jiwe akawa RaisUme hesabu nyuzi zenu za Makonda na CCM?
Hata hivyo, CHADEMA haina sera na Uongozi wake Umekufa
Hata isipoongelewa au kuzungumziwa, CHADEMA ni puppets wa mabeberu.
Sasa kama upinzani umekosa yote hayo mbona kutwa mnapoteza muda kuwajadili badala ya kufanya yenu?hawana viongozi mahiri, wenye maono, dhamira na nia ya dhati ya kuwakomboa waTanzania 🐒
kwa tamaa na uchu wa madaraka miongoni mwao, uhasama na uadui wa wazi kabisaaaa baina yao, ubinafsi na kutoaminia wao kwa wao, kumewafanya wawe dhaifu na kibogoyo zaidi 🐒
mathalani,
wakizungumzia umoja,
waTz wanajiuliza wameshindwa kuungana wao kwa wao na kua upinzani moja wenye nguvu, then huo umoja gani wanazungumzi?
ooh waTanzania watuamini🐒
Nani atawaamini wapinzani ambao hawaaminiani wao kwa wao?
Ooh tutarekebisha uchumi 🐒
mtarekebishaje uchumi upi na hamuoneshi mipango mikakati mbadala na mmeng'ang'ana na masuala ya vyeo tu na nafasi za uongozi. Na hapo ndipo mnaweza kujieleza vizuri lakini sio kwenye uchumi. Mmestukiwa na wanainchi 🐒
kwa ujumla upinzani umekosa uelekeo, umekosa dira, umekosa sera, umekosa mipango na mikakati ya kumvutia na kumshawishi mwanainchi walau awasikilize tu 🐒
kwasabb inahitajika kua na vibrant opposition na ni haki ya kikatiba kwa Tanzania🐒Sasa kama upinzani umekosa yote hayo mbona kutwa mnapoteza muda kuwajadili badala ya kufanya yenu?
Sajili chama tutakuunga mkonoKipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki.
Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki.
Wakajaribu kusikilizia upepo haukwenda sawa. Wakaja na suala la Katiba mpya. Likaenda enda wakaliacha. Hawajawa na consistency katika hili jambo la msingi sana. Wameiacha hoja hii ya msingi ya Katiba Mpya.
Sasa wanadakia na kusimamia kila tamko linalosemwa na wanasisiem. Na hasa hasa matamko ya Makonda. Inashangaza. Hawana tena data mbalimbali za msingi za kuelezea ufisadi ambao unafanyika. Hawana muda wa kuelezea madhambi mbalimbali na mapungufu wanayoyaona.
Watanzania wana maisha magumu hakuna wa kuwasemea. Kwa sasa kila mtu anaimba wimbo wake. Lema amekazana na kauli ya Makonda ndo imekuwa sera yake. Hana jipya.
Lini tutapata upinzani imara wa kweli? Mwacheni Zitto yeye anakula pension. Huyo msimguse yupo ICU. safari hii hana cha kukosoa.
Kama ni kweli basi wananchi hawawezi kuwachagua, sasa kwanini CCM wanaogopa tume huru ya uchaguzi ili hali Wananchi wana imani na nyie ambao mko na sera na muundo mzuri? Mlivyo waoga eti mmebadilisha jina tu wakati muundo bado ni ule ule. Kila mtu akielimika tu hata kidogo huwezi mwambia habari za CCM labda awe na maslahi binafsi. Kuna wale huwa wanasema bora CCM iendelee kutawala maana wapinzani wataleta vita 😂😂😂😂😂😂kwasabb inahitajika kua na vibrant opposition na ni haki ya kikatiba kwa Tanzania🐒
sio hii ya kudai uchaguzi huru wa kitaifa hali ya kua chaguzi kwenye vyama vya Upinzani ni figisu, kiza totoro ni hatari kwa afya na uhai wa wanachama 🐒
wanadai Demokrasia na uhuru hali ya kua kwenye vyama vya ni udictator, ubabe na Mapinduzi kila uchwao 🐒
wanadai haki, uwazi, uwajibikaji na usawa hali ya kua kwenye vyama vyao ni kichekesho 🤣
ni muhimu kuzingati hoja ya Upinzani dhaifu na kibogoyo 🐒
Kwahiyo na wewe unaona maisha ni yale yale, hakuna mabadiliko?Kipindi cha mkapa wewe ulikuwa na umri gani na sasa una umri gani. Kipindi cha mkapa kulikuwa na population kiasi gani na sasa hivi iko kiasi gani? Kila kitu kinabadilika baada ya muda flani. Maswali mengine mpaka unajiuliza kama muulizaji kafika hata darasa la tatu
Sawa Maarifa kuna jambo lingine🤔Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki.
Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki.
Wakajaribu kusikilizia upepo haukwenda sawa. Wakaja na suala la Katiba mpya. Likaenda enda wakaliacha. Hawajawa na consistency katika hili jambo la msingi sana. Wameiacha hoja hii ya msingi ya Katiba Mpya.
Sasa wanadakia na kusimamia kila tamko linalosemwa na wanasisiem. Na hasa hasa matamko ya Makonda. Inashangaza. Hawana tena data mbalimbali za msingi za kuelezea ufisadi ambao unafanyika. Hawana muda wa kuelezea madhambi mbalimbali na mapungufu wanayoyaona.
Watanzania wana maisha magumu hakuna wa kuwasemea. Kwa sasa kila mtu anaimba wimbo wake. Lema amekazana na kauli ya Makonda ndo imekuwa sera yake. Hana jipya.
Lini tutapata upinzani imara wa kweli? Mwacheni Zitto yeye anakula pension. Huyo msimguse yupo ICU. safari hii hana cha kukosoa.
Hapana mkuu,na hakuna sehemu nimesema kuwa maisha ni yale yale,je unaweza kunionyesha wapi nimesema maisha ni yale yale?Kwahiyo na wewe unaona maisha ni yale yale, hakuna mabadiliko?
Kwamba kipindi cha Mkapa na sasa ni sawa?