Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Ulicho andika ni cha kweli ila wenye akili ndogo ni vigumu kuelewa ...waulize wapinzani ni kwanini JPM alikuwa anatamka sana haya maneno ....(ngojeni kwanza ni nyoshe nchi) kuna elimu kubwa sana na akili kubwa sana kwenye haya maneno kwa watu tulio jaliwa akili timamu ...muulizeni mbowe au tundu lissu au zitto hayo maneno yalikuwa na maana gani? Ndiyo utajua kuwa tanzania tunaongozwa na wapumbavu wengi sana..kamwe mbowe lisu na zito awawezi kuelewa hekima ya hayo maneno .....pia JPM alikuwa ni Rais mkweli tofauti na huyu muhuni ambaye wapinzani walimtukuza kwa kumwamini ...yaana unashindwa kumwamini Rais mkweli unakuja kumwamini Rais muhuni...vyama vya upinzani tanzania vimechanganyikiwa kabisa ni upumbavu ulio tukuka....kwa sasa wapinzani walituaminisha kuwa mtu wa kushirikiana naye ni Samia lakini kinacho wakuta wanajuta na wataendelea kujuta zaidi ...kipindi cha JPM ilikuwa ukishirikiana naye yupo piss sana anakuingiza kujenga nchi na kupambania taifa kikweli kweli .....WAPINZANI TANZANIA KUTOKANA NA AKILI ZAO MBOVU WAKA UNDERESTIMATE THE STUPIDITY OF THE STUPID PEOPLE .....SAMIA NI DEATH TRAP...SIYO DEATH KWA UPINZANI TU BALI NA KWA TAIFA PIA...niliwaambia wapinzani ilikuwa rahisi kupata katiba mpya na nzuri na ya haki chini ya mzalendo JPM kuliko huyu muhuni tuliye naye sasa walinipingakwenye huo ukweli vibaya sana na sababu za kunipinga ni ....(walishindwa kufumbua fumbo la magufuli la ngojeni kwanza ninyoshe nchi)
 
Ndio akili za Waja hizi,mwenyewe umeona umeandika kitu cha maana kumbe uharo tu kama uharo,usanii na utapeli wenu pale Waja Hospital
 
Alikutuma barua ya kualika wapinzani kwenye serikali yake? Yeye si ndo aliua upinzani?
 
Tatizo la upinzani wa nchi hii ni wa kinafiki, siasa za majitaka. Kwa Magufuli mfumo wao wa siasa za kupakazana mavi ulikuwa hauvumiliki sababu Magufuli alikuwa kanyooka hataki usela mavi wala hauvumilii.

Siasa za majitaka ni za kumchafua kiongozi aliyeko madarakani na uzushi au propoganda, scandals kisha kumfuata ili awapooze na vibunda. Style hizo walianza nazo wakina Maalim Seif, Lipumba na Mbatia wakawa wanampelekea moto Mkapa kisha wanaenda Ikulu kupoozwa. Kwa Jakaya kukawa na Zitto, Mbowe na Lissu japo mwishoni zitto ali split nao na kuanzisha chama chake cha ACT. Mchezo ukiwa ule ule wanavuta vibunda vya posho ikulu.

Kwa Magufuli hakutaka mazoea nao walipoanza choko choko akatoa onyo wamuache raisi afanye kazi iliyompeleka Ikulu. Walipoona hatoi ushirikiano wa vibunda ndio wakaanza kupondea miradi na kuanza kumpa title ya dikteta anaeua upinzani! Lissu alienda further na kuanza kumuita Dikteta uchwara ila mzee wa "not to that extent" hakupenda hilo ikabidi watu wa Cuba wafanye jambo la kumgeuza jamaa kiwete ili kutuliza ghasia 😁! Siasa za bongo zilianza kuwa bloody serious from that point in time.
 
Uko sahihi
 
Kweli kabisa, upinzani ni majinga ka mavi tu. Yaani tuliyapa matumaini before kujua ni wahuni, menyewe hata hayakujua kubadilika
 
Acheni unafiki. Leo mnasema jiwe aliwahitaji wapinzani. Si ni huyo jiwe wenu alisema wapinzani wamechelewesha maendeleo Tanzania?. Acha unafiki wewe chawa wa magu
Alisemaga hivyo baada ya kuona hawakuwa wakimuunga mkono kwa yale aliyokuwa akiyafanya japo yalikuwa ndio yale yale waliyokuwa wakiyahubiri wapinzani siku zote kabla ya JPM kushika madaraka !

Wapinzani walivyoona Jiwe anashangiliwa sana na Wananchi wakasema huyo Jiwe anafuata sera zetu !
Lakini wakaendelea kumpinga na kumponda badala ya kumuunga mkono !

Ndipo alipoona kumbe na hawa wapinzani ndio kama hao hao aliokuwa akipambana nao huko Serikalini na Chamani kwake !
Akaamua sasa ajitengenezee sapoti kutoka kwa Wananchi na kutoka kwa baadhi ya wale aliowainua kutoka Chamani kwake na upinzani !

Ukweli ni kwamba JPM alikuwa na nia ya kuibadilisha Nchi kabisa lakini alihitaji sana sapoti ya kutoka Upinzani ili aweze kuyatimiza yale aliyokuwa ameyakusudia !
Bahati mbaya Wapinzani walishindwa kumuelewa hata alipokuwa akiwashughulikia kweri kweri wa Chamani kwake lakini Wapinzani walishindwa kabisa kuusoma mchezo !
Wao wakaendelea na pinga pinga Jazz Band yao ndipo Ngosha akabadili ubao 😳🙄 !
 
Nlitaka Nan na na I wamuunge mkono? Mbona wapinzani wengi sana waliunga juhud mkono? Prof.kitila,wabunge wengi tu waliunga mkono mbunge wa babat mjini,hamkumbuki wabunge na viongoz weng wa upinzan waliunga mkono?
Hakutaka aungwe mkono na Individuals tu alitaka Aungwe mkono na wote ili awe na Nguvu ya kupambana na wale wenye nguvu ndani ya Nchi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…